My love story, why am I single

My love story, why am I single

Mwanaume anaweza pita na yeyote anaemwekea qibla mwenyewe but they can't forget where the wife material is. Ni kama kamari
 
Kuna rafiki yangu aliniambia hakuna mtu asiejua kupenda hata ujifanye kauzu vipi moyo una stop center yake utadondokea tu hata chizi.

Basi bwana Mimi baada ya kuachana na mtu fulani niliekuwa nampenda sana.baada ya kuona hakuna future nikaona nimute Mimi na kazi busy busy 24/7 kweli nilimsahau kidogo ila siku mbili
Usirudi inatosha.
 
Inategemea na nini Eli?
Tell me [emoji101]
Inategemea mambo mengi lakini mazingira na aina ya mwanamke humfanya mwanaume ashawishike fasta. Kumbuka kwa mwanaume ngono haina uhusiano na hisia.
 
𝚄𝚗𝚊𝚜𝚎𝚖𝚊 𝚞𝚕𝚒𝚞𝚖𝚒𝚊 𝚑𝚕𝚏 𝚞𝚕𝚒𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚗𝚊 𝙺𝚐 80 𝚣𝚒𝚔𝚊𝚏𝚒𝚔𝚊 𝙺𝚐 96???
 
You're not matured enough. Mwanaume mwenye mtu wake ambako yuko committed kukubali ni ngumu ' labda kumi kwa mia
Mmh your not serious gal!!! Huwajui wanaume... Labda dem awe Mbovu men asimuelewe atakataa" vinginevyo kaliwa
 
Inategemea mambo mengi lakini mazingira na aina ya mwanamke humfanya mwanaume ashawishike fasta. Kumbuka kwa mwanaume ngono haina uhusiano na hisia.
Teh Eli bana nimekuelewa na nikakuerewa
 
Nishawahi kua na mahusiano ambayo sijui yanahusiana na nini
 
Back
Top Bottom