My love story, why am I single

Mwanaume anaweza pita na yeyote anaemwekea qibla mwenyewe but they can't forget where the wife material is. Ni kama kamari
 
Usirudi inatosha.
 
Inategemea na nini Eli?
Tell me [emoji101]
Inategemea mambo mengi lakini mazingira na aina ya mwanamke humfanya mwanaume ashawishike fasta. Kumbuka kwa mwanaume ngono haina uhusiano na hisia.
 
Aaamke amalizie hii story bana....

Sent using Redmi7
 
𝚄𝚗𝚊𝚜𝚎𝚖𝚊 𝚞𝚕𝚒𝚞𝚖𝚒𝚊 𝚑𝚕𝚏 𝚞𝚕𝚒𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚗𝚊 𝙺𝚐 80 𝚣𝚒𝚔𝚊𝚏𝚒𝚔𝚊 𝙺𝚐 96???
 
You're not matured enough. Mwanaume mwenye mtu wake ambako yuko committed kukubali ni ngumu ' labda kumi kwa mia
Mmh your not serious gal!!! Huwajui wanaume... Labda dem awe Mbovu men asimuelewe atakataa" vinginevyo kaliwa
 
Inategemea mambo mengi lakini mazingira na aina ya mwanamke humfanya mwanaume ashawishike fasta. Kumbuka kwa mwanaume ngono haina uhusiano na hisia.
Teh Eli bana nimekuelewa na nikakuerewa
 
Nishawahi kua na mahusiano ambayo sijui yanahusiana na nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…