Wanaume tukisema usipoteze muda na mademu wa hovyo ndio kwa mambo kama haya. Mchezo anakunyima, na kwa demu wako anakuharibia ili ukose vyote furaha yake yeye ni akutumie kutuliza kichaa chake cha usichana ila sio kuheshimu muda wako. Mwanamke ambaye anakuelewa wiki tu inatosha kukupa jibu kuwa wewe ni mwanaume ambaye mtakuwa kimahusiano au haitawezekana.
Mambo ya My best friend mwambie awe anakulipia nauli popote mtapokwenda au akisema anakuhitaji awe anakutumia nauli ya uber/ bolt au akutumie ya mafuta kama una usafiri wako, akulipie bili kama mtakutana sehemu za madukani au shopping au mgahawani usilipie hata mia. Usijempigia kwa vocha yako, yeye ndie akupigie au akutumie vocha ndio umpigie.
Usilipie hata mia kwa lolote katika kumaintain hiyo friendship, halafu tuone how Long huo urafiki utaweza kudumu. Nje ya hapo, acheni kuendekeza mambo ya kike, mwanaume hajaumbwa kuishi na kuwa na mazoea nje ya mahusiano ya kimapenzi na mwanamke wakati akili na mwili vinamwambia huyu mbele yako ni halali yako kumla na unatakiwa kuchukua hatua. Kujizuia haina tofauti na ushoga tu.
Majority wa wanawake ndio wanataka urafiki wa kinafiki na wanaume huku wao wakibenefit kwa kila anachoomba au kutaka atakurubuni umpatie na siku atakapoona ameshakupotezea muda vya kutosha then atasepa na mtu mwingine huku akikuacha na risiti kibao za gharama za urafiki wenu ambazo umezilipa kwa hela zako wewe mwanaume mpumbavu usiye na hekima kuendekeza wanawake eneo la friend zone.
Be a man, have some balls, put yourself first next and after God, then Business then your future kids then a woman if she begs to stay if not, don't bother kula tu hizi dangaji uzee ukikufika hauna mtu wa kukukera na mgao wa mali.
[emoji457][emoji3037]