My memory is very fresh, walikana kuwa hawajalifungia Kanisa la Gwajima. Leo tena eti wamelifungulia

My memory is very fresh, walikana kuwa hawajalifungia Kanisa la Gwajima. Leo tena eti wamelifungulia

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Mfa maji hutapatapa!
Mlisema hamjalifungia, leo mnafungulia lipi?

Mna dhambi kubwa
 
RgXtOyNnar9pJ9NYsRQvKPHmLYauDY9bijGmWLBF.jpg
 
Walikana Ili wekwepe kuulizwa sababu sasa alimradi wameruhusu tushajua kumbe wao ndo walitoa hiyo amri. Labda sasa tujuzwe min ilikuwa sababu ya kufungiaakanisa haya? Na athari zake nani anawajibishwa?
 
Back
Top Bottom