R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Nov 24, 2025 #1 Mfa maji hutapatapa! Mlisema hamjalifungia, leo mnafungulia lipi? Mna dhambi kubwa
Egwugu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,558 Reaction score 8,556 Nov 24, 2025 #3 Walikana Ili wekwepe kuulizwa sababu sasa alimradi wameruhusu tushajua kumbe wao ndo walitoa hiyo amri. Labda sasa tujuzwe min ilikuwa sababu ya kufungiaakanisa haya? Na athari zake nani anawajibishwa?
Walikana Ili wekwepe kuulizwa sababu sasa alimradi wameruhusu tushajua kumbe wao ndo walitoa hiyo amri. Labda sasa tujuzwe min ilikuwa sababu ya kufungiaakanisa haya? Na athari zake nani anawajibishwa?