my new signature......

kwa hiyo unakubaliana na signature yangu?
 

:biggrin1::biggrin1:
 
Mimi naona kuna issue itakua imetokea kwake anataka ajue atoletate au assepe.... ngoja tuone where we are going....
umejuaje? au wewe ndo mrithi wa sh Yahya(RIP)?
 
ndo mana kuna kusomeana 'riot act'.
 
kwa hiyo unakubaliana na signature yangu?


Bishanga hapo sasa kunitega.. mbona maelezo yangu yanajitosheleza... labda nikupe tofauti kati ya statement yako na yangu..

Ya kwako ime conclude moja kwa moja kua hamna kuvumilia kitu whereas ya kwangu inasema vumilia sana ila ikivuka mpaka na ikaonekana there is no turning back una acha ku tolerate... Hope umenipata..
 
Bishanga simkubali huyo baba pleeeeeeeease usiniweke katika sentensi moja na yeye...

Nilikuwa nasubilia kwa hamu sana jibu lako kutokana na quote ya Bishanga Bashaija
:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Bishanga simkubali huyo baba pleeeeeeeease usiniweke katika sentensi moja na yeye...
alllllaaaaaa!sasa umejuaje kuwa leo mambo yangu yako pindawima?
 
alllllaaaaaa!sasa umejuaje kuwa leo mambo yangu yako pindawima?


Nimehisi kwa sababu jinsi ilivyonielezea huyo mwanaume sifa zake mbovu akiwa fit katika secta moja ambayo pia ni muhimu... kuna ki trait cha hasira kilichotumika kua

  1. Unas hasira na mimi kutaka kumvumilia mtu wa namna hio - eti kisa tu yoko fit 6x6...
  2. Umeelezea vizuri kweli kwa ma filingi almosta as if mwanamama analalama na bcoz najua wewe ni mkaka ulitoa tu mfano wa mwanaume but ukilenga kuelezea mwanamke.... palikua na kihasira (nahisi si lazima uwe wewe mhusika but kuna mtu wako wa karibu - au ni kitu umefikiria saaana)
 
Kuna mtu kanionea Lizzy hapa?

Mkimwona mwambieni babu anamtafuta eti.
 

Kool down mamii
Sidhani kama B alifika kwenye maana hiyo
 
wapi wanatoa phd za psychoanalyis nikaku enroll?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…