Mungu nisaidie mja wako, nasakamwa na wanadamu
:A S-cry::A S-cry::A S-cry::crying::crying::crying::crying:
Jamani Jamani Asha D
Mbona leo mnanishambulia shosti wako??
Najua unampenda sana partner wako, lakin kama unampenda kweli utamlinda.
Hivi umemuangalia Lizzy na mambo anayofanya tena kwa vitendo kabisa???
Unajua unapaswa umuangalie kwa JICHO LA 3???
Yeye anatoka na Kloro au Uporoto LIVE tena mbele yangu wanaenda zao nisipokujua, lakin mi nimetulia tuliii
Na cha kushangaza hata wewe unaejiita PARTNER wake hata kukohoa ulishindwa, achilia mbali kumsema kama unavyonifanyia mimi hapa
Au unataka kusema u-parter wenu ni pamoja na kufichiana makosa yenu??
Unajua undani ya thread aliyoanzisha partner wako iitwayo UPOLE???
Natungiwa mpaka thread kwamba nimezidi UPOLE na ameshajisema wazi yeye HAPENDI WAPOLE
Anajua Sipiyuu ni mpole sana, hata nimkute na Uporoto Bar wanapigana mabusu wala simsemi lolote.
Au una ajenda ya siri na patner wako??? Najua una kaka bachelor na sasa naona kila dalili za wewe kunishambulia mbele ya halaiki ili nionekane sifai wala sijui kupenda, na iwe njia rahisi Lizzy aje kwa kaka ako sio???
Usihangaike sana jamani Asha D
Lizzy kwenye thread yake ya UPOLE ameshanisema vya kutosha
Na kama vile haitoshi hapo juu amerudia tena "SIPIYUU ASIYE WANGU TENA"
NA shoga mtu ukaamua kunimaliza kabisa kwa kuniambia ninamfanyia ushe*** partner wako
Mi nipo tayari kumuachia aje kwa kaka ako bila kinyongo.
Nitamuachia ili wawe huru zaidi na kaka ako waponde raha za dunia bila kificho, kwani mwanzoni walijificha kuniogopa
Mie mpole, niliyeumbwa mpole, naongea kiupole sina la kufanya tena. Nitapaki na upole wangu kwani siwezi kuubadlilisha (amenipa Mungu)
Naomba nikuruhusu rasmi kwamba, mwambie kaka ako kwamba sasa hana kizuizi tena kujirusha na Lizzy anaetamka wazi CPU SIO WAKE TENA.
Eeeh Mungu wasamehe wadada hawa, kwani hawajui walitendalo.
Nihurumie mja wako ninaeonewa na wanadamu nipate aliye sawa na ulivyoniumba.
Mungu nisaidie mja wako, nasakamwa na wanadamu
:A S-cry::A S-cry::A S-cry::crying::crying::crying::crying:
Hahahhaha!
Hubby calm down!!Mi nakupenda sana ila hujui tu...hayo mengine yote hua nafanya ili angalau nione reaction yako labda utajirudi uanze kunipenda kama zamani!!Naomba kama hutojali tuende mbali kidogo weekend hii labda tutaweza kumaliza matatizo yetu mbali na haya mazingira tuliyozoea!
Ahsante Mungu kwa kunifariji . . .
Mungu anakupenda saaaana na kasikia maombi yako... tena muda wa mwisho wa dunia ushapita ina maana maisha yanaanza upya... Usiipoteze tena nafasi ulopewa na Mkeo... mpende mpendane ili kue na amani... na suggest nendeni tena honeymoon...
Nawatakia kila la kheri katika mapenzi yenu...
kama kawaida yako mkuu, mwaga razi kamanda! Mpaka wajirekebishe mwaka huu.Kinamama someni signature yangu mpya hapo chini,je mnakubaliana nayo?
Dah! mpaka sku ya kiama pia unatongoza? kulaleki!Mimi nimpe nafasi, yeye anipe nafasi au tupeane nafasi??
Jamani jamani Asha D,
Mbona bado una kauli tata???
Najua unamuogopa partner wako, huwezi kuthubutu kumpa LIVE ili ushosti wenu usiingie doa
(Nashangaa hata kwenye mambo ya kuambiana ukweli mnaweza kukosana, khaaaaa! Kweli ushosti wenu kiboko)
Haya, mi nakubali tu, nitaweka muda maalumu nione kama amebadilika.
Saa hizi nimelia sana, nimechoka nataka nile nilale
Mimi nimpe nafasi, yeye anipe nafasi au tupeane nafasi??
Jamani jamani Asha D,
Mbona bado una kauli tata???
Najua unamuogopa partner wako, huwezi kuthubutu kumpa LIVE ili ushosti wenu usiingie doa
(Nashangaa hata kwenye mambo ya kuambiana ukweli mnaweza kukosana, khaaaaa! Kweli ushosti wenu kiboko)
Haya, mi nakubali tu, nitaweka muda maalumu nione kama amebadilika.
Saa hizi nimelia sana, nimechoka nataka nile nilale
Dah! mpaka sku ya kiama pia unatongoza? kulaleki!
Kazi ulofanya ni kubwa na nimekuelewa kabisa... wewe kapumzike
mimi leo Lizzy MP wangu naongea nae na nitampasha ukweli...
Kesho ukionana nae atakua a new Lizzy and you will forget completly
about Asha D... You will be asking ukisikia jina kua who is she???
GOOD LUCK Sipiyuu...
hapa leo mpaka wazungu wamevaa hijabu, naripoti laiv kutoka shekoslovakiaNasikia rungu limeshaanza kuwashukia wazungu . . .
Angalia dirishani kwako hapo, unaweza ukajikuta mtaa mzima umebaki peke yako
Kwa hiyo mmeo akiwa mlevi,akirudi anakudunda,hela ya kula hatoi,matusi kibao,lakini so long as unajua kwamba yeye kwenye 6x6 ni mahiri sana na una enjoy mpaka nywele zinasimama kwa hiyo uta tolerate upuuzi wake eti kwa kuwa una 'enjoy' majamboooz? maana hapa tunaongelea 'anything'
Partner nimeshaanza kujirekebisha!!!Kazi ulofanya ni kubwa na nimekuelewa kabisa... wewe kapumzike
mimi leo Lizzy MP wangu naongea nae na nitampasha ukweli...
Kesho ukionana nae atakua a new Lizzy and you will forget completly
about Asha D... You will be asking ukisikia jina kua who is she???
GOOD LUCK Sipiyuu...
hapa leo mpaka wazungu wamevaa hijabu, naripoti laiv kutoka shekoslovakia
Partner nimeshaanza kujirekebisha!!!
Nashukuru mpenzi tumeafikiana... ni muhimu saana tuongee wawili kwa upana zaidi ili tuweze rekebishana, ila coz mda umeisha naamini leo itabidi uwe karibu na huyo CPU ili ile 6x6 by far itumike maana najua ni mda mrefu sasa... kesho tutoke walau brunch kisehemu kizuriii ambacho hakina disturbances... Usisahau ile lingerie unapoondoka...lol
Asante partner...ngoja nikajipendezeshe afurahi!!!