Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Cheki video hapa
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh imefika huku!!coz tumeiweka youtube kimakosa kuna vitu vlikuwa havjakaa sawa thus y hta kwwenye thisisdiamond hatujaweka
.si mbaya lkin wakiona na taarifa ni kuwa ,j3 video ndio itasambazwa
nyimbo nzur n i hope video itakua nzur piabut cha kushangaza why akopy na kupaste biti la dayana yan the same kabisa ,,,n nini shida hapo na shida iko kwake ooo kwa producer
hajacopy wala kuiba bit ya dayna..but iko hiv
hiyo bit ilitengenezwa n producer n haikuwa na mtu ..dayna akaenda kurekodi producer akapendkeza atumie hiyo beat dayna akakataa kabisa beat ni mbya ikaachwa akaja diamond akaja akaona inafaa akaitumia
kwa nn hawa watu wanangoja afanye kitu kizuri wadai n chao
.
mengne kujishushia hadh tu
Alienda na mzigo?
ina maana hilo beat halijatumiwa kabisa na dyna? kama limetumiwa basi kuna tatizo sehemu.