My Number One behind the scene (video making) in South Africa - Diamond Platnumz

duh imefika huku!!coz tumeiweka youtube kimakosa kuna vitu vlikuwa havjakaa sawa thus y hta kwwenye thisisdiamond hatujaweka
.si mbaya lkin wakiona na taarifa ni kuwa ,j3 video ndio itasambazwa
 
nyimbo nzur n i hope video itakua nzur piabut cha kushangaza why akopy na kupaste biti la dayana yan the same kabisa ,,,n nini shida hapo na shida iko kwake ooo kwa producer
 
hajacopy wala kuiba bit ya dayna..but iko hiv
hiyo bit ilitengenezwa n producer n haikuwa na mtu ..dayna akaenda kurekodi producer akapendkeza atumie hiyo beat dayna akakataa kabisa beat ni mbya ikaachwa akaja diamond akaja akaona inafaa akaitumia
kwa nn hawa watu wanangoja afanye kitu kizuri wadai n chao
.
mengne kujishushia hadh tu
 
ina maana hilo beat halijatumiwa kabisa na dyna? kama limetumiwa basi kuna tatizo sehemu.
 
hajacopy wala kuiba bit ya dayna..but iko hiv
hiyo bit ilitengenezwa n producer n haikuwa na mtu ..dayna akaenda kurekodi producer akapendkeza atumie hiyo beat dayna akakataa kabisa beat ni mbya ikaachwa akaja diamond akaja akaona inafaa akaitumia
kwa nn hawa watu wanangoja afanye kitu kizuri wadai n chao
.
mengne kujishushia hadh tu

si kweli coz dayna ndo wa kwanza kutoa iyo nyimbo na nasikia story n kuwa dayna alitaka collabo na diamond,, but diamond ikawaje sijui akamzunguka mwenzie akachukua beat akatoas nyimbo wakat yeye dayna ameshatoa yake ina muda kidogo ndo diamond ametoa yake now na how come aseme beat mbaya den aanze kurecord yeye afate diamond
 
Hakuna shaka kuwa diamond ni mkali saana anafanya vizuri kweli na ni mfano kwa wengine.
Lakini kama hakucopy, iweje jina la wimbo, ujumbe pia ufanane na wa dayna? Naomba unipe ufafanuzi kidogo wewe kama msemaji wake mkuu.

Back
Top Bottom