My passion and soon to be full time job.

Joined
Feb 11, 2014
Posts
32
Reaction score
7
Ni kuku wa kienyeji.wenye umri wa miezi minne..nawafuga kiasili kabisa(organically)tunawalisha chakula tulichotengeneza wenyewe..tunawapa majani kila siku..majani tunayowapa ni majani ya mpapai,kisamvu,lusina,mlonge..na wanapoumwa tunatumia madawa ya asili kama aloe vera,mnyaa,katani na muarobaini..MUNGu akijaalia baada ya miezi miwili wataanza kutaga.wako kuku mia hamsini.mitetea mia thelathini,majogoo ishirini.karibuni sana
 
Hongera sana, labda na sie tutapata mbegu hapo. Uko wapi.
Ni kuku wa kienyeji.wenye umri wa miezi minne..nawafuga kiasili kabisa(organically)tunawalisha chakula tulichotengeneza wenyewe..tunawapa majani kila siku..majani tunayowapa ni majani ya mpapai,kisamvu,lusina,mlonge..na wanapoumwa tunatumia madawa ya asili kama aloe vera,mnyaa,katani na muarobaini..MUNGu akijaalia baada ya miezi miwili wataanza kutaga.wako kuku mia hamsini.mitetea mia thelathini,majogoo ishirini.karibuni sana
 
Nashukuru kwa kushare,minyaa unatengenezaje na kwa kutibu nn,nauliza hivi kwa kuwa mm pia ninafuga kuku wa kienyeji nimeanza na hamsini ambao nadhani mid april wanaanza kutaga.
 
Pia ningependa kuuliza je kuna mtu anambegu ya kuku aina ya silkies?...hawa wananyama nyeusi
 
Back
Top Bottom