My people, I am real scare of Chinese

My people, I am real scare of Chinese

Please jamani msimseme sana huyo ndugu yetu aliyejaribu to criticise the Chinese people present across African Continent, kwa sababu ni kweli presence Yao isn’t a big deal however people need to be extremely carefully. Maana kweli hayo jamaa are on the top of the game for corruption, that’s says they can sell anything , anyhow for some big money, in fact they don’t care much as long .........
Just two days a go kuna Chinese top officials were jailed for life for corruption.
One of this guy was Ex MI6 spy , can you imagine? Organisations like IMF , World Bank etc do business with African countries, however when you are written off or becoming a bad debts, they (IMF,WB etc) will NOT finance you.
Hence the country / some countries including our East African countries end up falling into these Loan sharks(Chinese Bank) with some shocking interest rates

Excuse me for some typo errors, I ain’t got my classes with me
 
Mtoa post upo sahihi japokuwa watu wapo bize Sana kurekebisha uandishi wako badala ya kile ulichokusudia kukielezea
 
Jamani ebu eleweni "Maana" sio lazima aandike kwa usahihi

Ok, China wana uwekezaji wenye tija, wanachokifanya ni kucheza na interests zetu, ili kuzielewa za kwao
Yaani kuwa na deni ambalo kwanza hata sisi wenyewe tunajua kabisa kwamba hatuwezi kuirudisha kisha tuwaelewe wao wanataka nini, yaani sio wajinga kutoa kitu kama hii, huu ni utumwa mpya (Utumwa wa madeni)

Unadhani viongozi wetu hawajua kama wanachokopa hawawezi kurejesha?
 
Scare =scared
Chinese, they (noun and pronoun at same time, seriously?)
governments, they (repetion of noun and pronoun)
at Zambia and Kenya (wrong use of preposition)
Haya mwalimu wa kiingereza [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Watu wengi ni wajinga sana na hii ndio itapelekea weusi kutawaliwa kuanzia fikra zetu mtu anajadili usahihi wa lugha wala wa Wazo. Lugha wanaoishabikia inewafanya watumwa wa mtu mweupe. Pumbavu sana. Ngoja wachina waje hizo pronoun zetu za malkia watakunanihii nazo
 
Watanzania will never speak or write English eloquently due to psychosocial factors. Our learning environment is very challenging; we don't use/practice the language outside classrooms. Additionally, the social environment is not welcoming as errors and mistakes are regarded as sins if not crimes.

Huwa ninachukia sana watu tunavyopondeana kwa Kiingereza kibovu.Sasa mnadhani tutajifunza wapi, darasani mnajua English inavyofundishwa, kwa sisi tunaotoka St.Kayumba. Pengine tukiwa nje ya darasa ndiyo tunajiimarisha, hasa nikiwa nawaona nyinyi mnaojua mmeadika kisha nijifunze toka kwenu.

Unfortunately, huku tunashambuliana, matokeo yake wengi wanaogopa kuongea.Hiki ni chanzo kikuu cha watanzania kutojua English.Huwezi kujua lugha bila ya ku-practice na kukosea ni sehemu muhimu ya kujifunza.

Kama kweli wewe ni mmoja wa watu unaehuzunika kwa Watanzania kushindwa English,please change your attitude. We should encourage each other to use the language.I think what is going on in this thread is a good example of ad hominem, one of the features of people with shoddy thinking.

Only Jah can save the say
 
Acha uwoga wa kitoto WW hao wazungu na wahindi waliotapakaa huku Africa mbona hawakutishi? Hao IMF na WB (World bank) mbona wanazidai nchi za Africa madeni makubwa tu mbona hawakutishi? Mchina ni mdau mkubwa wa maendeleo wa Africa kwa sasa hivo anahitajika mno.

Mchina, ni sawa na mtu mwenye fedha yake akaamua kumkopesha mwanafunzi wakati mwanafunzi anaendelea kusoma hajamaliza anaanza kumdai kwa kasi ya hatari huku akishinikiza kama huwezi kulipa anakuchagulia cha kumpa ili aweze kupata deni lake. Unafikiri huyu mwanafunzi atamlipa nini mkopeshaji? Kama sio kuingilia utu wako tu na kukuvuruga tu.

Wachina wako radhi kukukopesha huku wakijua huwezi kukopesheka mwisho wa siku. Kile ulichokijenga kwa kutumia huo mkopo watakichukua na kukitumia kwa faida yao, mfani mzuri ni kenya wamejengewa reli lakini inavyoonekana hawezi kurudisha hilo deni kwa muda waliowekeana na wachina wana mpango wa kuchukua bandari ya mombasa kwa miaka 100 ili waweze kujilipa deni lao, wakati huo wanaitumia bandari yako kwa wishes zao wenyewe.
Unyonyaji wa kichina ni hatari zaidi duniani si wa kukaribisha hata kidogo. Ni heri hao IMF. n.k wanaangalia kama unaweza kukopesheka au la
 
Back
Top Bottom