My personal Top 10 list ya movie za kusikitisha nilizobahatika kuona

Katika movies 637 nilizotazama kwenye hii list yako sijatazama hata moja. Hiyo Manchester by the Sea, ipo kwenye list yangu kitambo itabidi niitazame maana niliishia kusoma reviews tu.
Go watch it, it's worth your time
 
1. Where hands touch .
2. The pursuit of happyness
3. Tears of the sun
4. Kuna movie ya naijeria sijui ghana nimeangalia nikiwa mdogo mdogo, siikumbuki jina; Mama mmoja amefariki ameacha mtoto wa kike na wa kiume wadogo, Baba akaoa mke mwingine, akawa anawatesa wale watoto, mwisho wakafukuzwa kwao, sijui walitoroka wakawa wanatangatanga mtaani. Nilikuwa nalia, nikajifunza kumuombea mama yangu aishi miaka mirefu 😀 now she’s 60 of age.
 
Watu kama Nyie lazima Muwe na Shida Sehemu ya Akili, Hii Hupelekea hata Mahusiano Yenu au maisha mnayapeleka Ki drama sana. Mkitaka Tendewa Tofauti na Mlivyoviona kwenye Movie..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…