My personal Top 10 list ya movie za kusikitisha nilizobahatika kuona

Haha hiyo where hands touch inahusu nini??
 
The goat life. Nzuri saa masaa 3 kasoro ambao hawapendi zile ndefu hawataweza hii
 
Sijaona uiweke the million dollar baby..seven Pounds.. A Walker to remember,Me before you..a dead poet society...The Miracle walker...
Hizo zote top tier movies, haswa hio million dollar baby, what a tragic ending.
 
Hizo zote top tier movies, haswa hio million dollar baby, what a tragic ending.
Kuna kipindi nilitafuta movies za watu wanaosumbuliwa na magonjwa, nikapata kama 100,kwa siku nilikua nacheki mbili..nina list ndefu sana ya movie za kujiliza..

Sure mwisho unahuzunisha..umeicheki 5 feet apart??story ya watu wanapendana but hawaruhusiwi kusogeleana zaidi ya hatua tano..so maisha yao yanakua hivyo hivyo...
 
Sikupigii lol na utaniadithia ukiwa sawa,kuna movie storyline yake inanihuzunisha sana inaitwa Pieces of a women,story ya mdada anapenda kua na swiftie wake,mungu anamsaidia anapata Ujauzito,yeye na boyfriend wake wanatunza Ujauzito vizuri kwa upendo wote,wakishirikiana kwa kila kitu,bahati mbaya ujauzito ukatoka,dotto I cried like a little baby πŸ˜‚πŸ˜‚..Magumu na depression aliyopitia yule dada baada ya miscarriage..huruma..
We niache bana, au nipigie nikuhadithie.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Next time lia mbele yangu nikubonde!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…