My personal Top 10 list ya movie za kusikitisha nilizobahatika kuona

My personal Top 10 list ya movie za kusikitisha nilizobahatika kuona

1. Where hands touch .
2. The pursuit of happyness
3. Tears of the sun
4. Kuna movie ya naijeria sijui ghana nimeangalia nikiwa mdogo mdogo, siikumbuki jina; Mama mmoja amefariki ameacha mtoto wa kike na wa kiume wadogo, Baba akaoa mke mwingine, akawa anawatesa wale watoto, mwisho wakafukuzwa kwao, sijui walitoroka wakawa wanatangatanga mtaani. Nilikuwa nalia, nikajifunza kumuombea mama yangu aishi miaka mirefu 😀 now she’s 60 of age.
Naitaka hii movie ila Netflix haipo
 

Attachments

  • Screenshot_20240909_194444_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20240909_194444_WhatsApp.jpg
    449.9 KB · Views: 13
Sikupigii lol na utaniadithia ukiwa sawa,kuna movie storyline yake inanihuzunisha sana inaitwa Pieces of a women,story ya mdada anapenda kua na swiftie wake,mungu anamsaidia anapata Ujauzito,yeye na boyfriend wake wanatunza Ujauzito vizuri kwa upendo wote,wakishirikiana kwa kila kitu,bahati mbaya ujauzito ukatoka,dotto I cried like a little baby 😂😂..Magumu na depression aliyopitia yule dada baada ya miscarriage..huruma..
Nafkiri anafikia kujifungua lkn mtt anakufa nafkiri kwa kucheleweshwa wakati wa kujifungua
Screenshot_20240909_195219_Netflix.jpg
 
Back
Top Bottom