My personal Top 10 list ya movie za kusikitisha nilizobahatika kuona

Huu mchezo unaliza wallah
Ya kawaida kwangu
Huu mchezo unaliza wallah
Haina masikito sana ila "the boy striped in pajamas" huo ni moto yaani uta huzunika tu maana kifo cha dogo kilikuwa cha bahati mbaya+uzembe wa wazazi+pia mapenzi ya Mtoto kwa mwezie (true love ile yenyewe hasa) na ndio maana wakaipa tunzo ya filamu bora
 
Ha



Haha wanasema nimeona movie zote..now nimeahamia Kwenye documentary..Kuna moja ya mtoto mgonjwa nusu inilize..inaitwa take care of Maya
Ni ile ambayo mama mtu anaambiwa anahusika na maradhi ya mtt wake..then mama mtu anajinyonga?
 
Ha



Haha wanasema nimeona movie zote..now nimeahamia Kwenye documentary..Kuna moja ya mtoto mgonjwa nusu inilize..inaitwa take care of Maya
Nliiona. Nasubiri part 2
 

Attachments

  • Screenshot_20241020_101626_Netflix.jpg
    198.4 KB · Views: 7
Fred vs jason na movie za akina capt jack sparrow naziangalia muda wote yani hizi movie kwangu ni mpya kila muda
 
Aiseee hapo kwenye Beautiful Boy kuna movie nyngne ya hvo ya kihindi inaitwa SANJU daahh mule addiction imezungumziwa vzuri sanaa😰🙌🙌
 
Hakuna andhaa kanoon,utakua mtoto wa 2000
 
Sanam teri kasam

Hii niliwah angalia ni ya kihindi, kwa mtu asopenda kuaibika angalia mwenyewe kuna muda mwanaume unasikitika mpk unataka kudondosha chozi.

Story fulan nzur sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…