My perspective : kila msanii wa Tanzania ni famous Kenya

Ila kweli Tanzania kuna good music sana.

Kuna time nilikuwa Kenya pale nikasikia ngoma moja inaitwa fundamental... Inaimbiwa hivi "Hizi ni zako...hizi ni zangu...hizi ni fundamental"... Nilicheka sana kusikia zile music genres .ziko very primitive and emotional provoking and not soothing at all but I fell in love with its imperfections and ugliness.. There's beauty in imperfection too.

Apparently, nilikapenda unconditionally kale kamziki ka fundamental.
 
But contemporary, the Kenya's music industry moves are terrifying !

Tanzania needs to watch out !

1. Nyanshiski - Mungu Pekee + Malaika + Now You Know

2. Sanaipei - Amina

3. Stella Mwangi - Haba Haba

4. Habida - My Reason
Wimbo uliofika Tanzania ni MALAIKA PEKEE, nina uhakika 100% Ukiuliza Watanzania wimbo kaimba nani au unatokea wapi ni ngumu sana kukupa jibu, yani kati ya watu 1000 labda mmoja au wawil ndio wanaweza kujibu, hizo nyingne ndio naziona hapa
 
That song is very famous in zimbabwe, we jus liked the nonsense in the song
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahahahah..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nimefanya juu chini mpaka nimedownload huu wimbo, kabla ya Kuuplay nikawa nacheka tu mwenyewe..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nimefanya juu chini mpaka nimedownload huu wimbo, kabla ya Kuuplay nikawa nacheka tu mwenyewe..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Jirani zetu sometimes huwa wanachekesha sana. Umeionaje ngoma lakini? Video yake ndio pasua kichwa sijui walirekodi na simu ya tecno N7.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Jirani zetu sometimes huwa wanachekesha sana. Umeionaje ngoma lakini? Video yake ndio pasua kichwa sijui walirekodi na simu ya tecno N7.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nacheka tu apa.. Mixer kiluga humo humo...Anaimba Kama anambembeleza mtoto..Hii nyimbo imekamilisha siku yangu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nacheka tu apa.. Mixer kiluga humo humo...Anaimba Kama anambembeleza mtoto..Hii nyimbo imekamilisha siku yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sometimes there is beauty in imperfections. Ahahaha!

Yaani kama ninavyochekaga idriss sultan anavyovurumusha vichekesho visivyochekesha.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sometimes there is beauty in imperfections. Ahahaha!

Yaani kama ninavyochekaga idriss sultan anavyovurumusha vichekesho visivyochekesha.
Mimi MC PILIPILI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simuelewi kabisaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…