Bottas
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 1,817
- 1,142
Kumbe mnasikiza mziki wa kenya huko bongo? Na venye mko na wasanii kibao wenye talantaNo 2 is correct I like that song
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mnasikiza mziki wa kenya huko bongo? Na venye mko na wasanii kibao wenye talantaNo 2 is correct I like that song
Kumbe mnasikiza mziki wa kenya huko bongo? Na venye mko na wanadanii kibao wenye talanta
Wimbo uliofika Tanzania ni MALAIKA PEKEE, nina uhakika 100% Ukiuliza Watanzania wimbo kaimba nani au unatokea wapi ni ngumu sana kukupa jibu, yani kati ya watu 1000 labda mmoja au wawil ndio wanaweza kujibu, hizo nyingne ndio naziona hapaBut contemporary, the Kenya's music industry moves are terrifying !
Tanzania needs to watch out !
1. Nyanshiski - Mungu Pekee + Malaika + Now You Know
2. Sanaipei - Amina
3. Stella Mwangi - Haba Haba
4. Habida - My Reason
That song is very famous in zimbabwe, we jus liked the nonsense in the songIla kweli Tanzania kuna hood music sana.
Kuna time nilikuwa Kenya pale nikasikia ngoma moja inaitwa fundamental... Unaimbiwa hivi "Hizi ni zako...hizi ni zangu...hizi ni fundamental"... Nilicheka saba kusikia zile music genres .ziko very primitive and emotional provoking and not soothing.
But nilikapenda kale kamziki ka fundamental.
FactKwa muziki Tanzania mko mbele sana. Hio tu ndio mmeshinda Kenya fare and square.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila kweli Tanzania kuna hood music sana.
Kuna time nilikuwa Kenya pale nikasikia ngoma moja inaitwa fundamental... Inaimbiwa hivi "Hizi ni zako...hizi ni zangu...hizi ni fundamental"... Nilicheka sana kusikia zile music genres .ziko very primitive and emotional provoking and not soothing.
But nilikapenda kale kamziki ka fundamental unconditionally.
Mziki mzur popote utausikia tu bro me naskiliza hadi nyimbo ya major ya landlordKumbe mnasikiza mziki wa kenya huko bongo? Na venye mko na wasanii kibao wenye talanta
Haha kumbe unamfahamu meja.Mziki mzur popote utausikia tu bro me naskiliza hadi nyimbo ya major ya landlord
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Haha usishangae...ile ngoma yake ya landlord nomaHaha kumbe unamfahamu meja.
hahahahah..Ila kweli Tanzania kuna hood music sana.
Kuna time nilikuwa Kenya pale nikasikia ngoma moja inaitwa fundamental... Inaimbiwa hivi "Hizi ni zako...hizi ni zangu...hizi ni fundamental"... Nilicheka sana kusikia zile music genres .ziko very primitive and emotional provoking and not soothing.
But nilikapenda unconditionally kale kamziki ka fundamental.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nimefanya juu chini mpaka nimedownload huu wimbo, kabla ya Kuuplay nikawa nacheka tu mwenyewe..Ila kweli Tanzania kuna hood music sana.
Kuna time nilikuwa Kenya pale nikasikia ngoma moja inaitwa fundamental... Inaimbiwa hivi "Hizi ni zako...hizi ni zangu...hizi ni fundamental"... Nilicheka sana kusikia zile music genres .ziko very primitive and emotional provoking and not soothing at all but I fell in love with its imperfections and ugliness.. There's beauty in imperfection too.
Apparently, nilikapenda unconditionally kale kamziki ka fundamental.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Jirani zetu sometimes huwa wanachekesha sana. Umeionaje ngoma lakini? Video yake ndio pasua kichwa sijui walirekodi na simu ya tecno N7.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nimefanya juu chini mpaka nimedownload huu wimbo, kabla ya Kuuplay nikawa nacheka tu mwenyewe..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nacheka tu apa.. Mixer kiluga humo humo...Anaimba Kama anambembeleza mtoto..Hii nyimbo imekamilisha siku yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] Jirani zetu sometimes huwa wanachekesha sana. Umeionaje ngoma lakini? Video yake ndio pasua kichwa sijui walirekodi na simu ya tecno N7.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sometimes there is beauty in imperfections. Ahahaha![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nacheka tu apa.. Mixer kiluga humo humo...Anaimba Kama anambembeleza mtoto..Hii nyimbo imekamilisha siku yangu
Mimi MC PILIPILI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simuelewi kabisaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sometimes there is beauty in imperfections. Ahahaha!
Yaani kama ninavyochekaga idriss sultan anavyovurumusha vichekesho visivyochekesha.
heheKwa muziki Tanzania mko mbele sana. Hio tu ndio mmeshinda Kenya fare and square.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]ungekaa kimya ufiche ujinga