Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Yap ntaandika hapo majina ya maeneo nimepiga tu picha hapa Alberton New Market pana balaa sana..Johannesburg.South?
Wao wanaioka kwa kutumia unga wa ngano isiyokobolewa na kuipaka mafuta kidogo sana kabla ya kuitia kwenye tanuru , kwahiyo iko tafauti sana na chapati zetu za kibongo .Mitamu?