My photo album: A unique collection

My photo album: A unique collection

20250131_143153.jpg
20250130_154228.jpg
 
Wao wanaioka kwa kutumia unga wa ngano isiyokobolewa na kuipaka mafuta kidogo sana kabla ya kuitia kwenye tanuru , kwahiyo iko tafauti sana na chapati zetu za kibongo .
Ili kuifaidi yatakiwa uwe na mboga yoyote ya kusukumia kuanzia maharage, rosti ya nyama, maini au mboga za majani.
Wao saa nyingine huila pamoja na siagi ya kienyeji lakini mimi ilinishinda!.
Kwa wamisri mikate hiyo ndio chakula chao kikuu kama ilivyo ugali kwa watanzania.
 
Back
Top Bottom