My photo album: A unique collection

My photo album: A unique collection

ae79b1801b6ce1f7a60210ffc4280239.jpg
 
Kivutio cha "𝗡𝗴𝗮𝘇𝗶 𝘆𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗺𝗯𝗶𝗻𝗴𝘂𝗻𝗶" ni sehemu ya kipekee katika Milima ya Dachstein, iliyoko nje ya Salzburg, Austria.

Imepata sifa kubwa kama sehemu ya watalii wanaotafuta kupiga picha za kupendeza na zinazofaa Instagram.

Mnamo tarehe 21 Septemba 2023 - Mtalii wa Uingereza alikufa baada ya kuanguka futi 300 kutoka kwa kile kinachojulikana kama 'ngazi ya kwenda mbinguni' katika Milima ya Dachstein ya Austria.

Mtandaoni.
FB_IMG_1708865859877.jpg
 
Back
Top Bottom