My playlist: Taja nyimbo ambazo siku haiwezi kuisha bila kuzisikiliza.

Cole sent from heaven uko njema
 
kila siku lazima nimsikilize huyu mzee

KENNY ROGERS

1-the gambler

2-luccile

3-Ruby

4-when two fools colide
 
Na wewe ni wimbo gani unaupenda saaaaaana kuliko zote ulizoziweka hapo juu na mimi nijifunze kuupenda
Hiyo listi ni ya Mwaka Jana..
Mwaka huu in huu wimbo Wa Runtown unaitwa for life in mzuri pia ujumbe mzuriii.
Mwingine ni Sauti Sol ft Patoranking _ Melanin ujumbe mzuriii na melody safii
 
Hahaa aisee mkuu kwenye joyner lucas hapo hua nimekua addicted na ngoma zake mbili tu yani "forever" na "i'm not racist"

Alafu kuna

2pac ====>changes & hit e'm up

B.i.g ====> sky the limit

21savage ==> nothin new

Young thug ===>daddy's birthday
 
Hiyo listi ni ya Mwaka Jana..
Mwaka huu in huu wimbo Wa Runtown unaitwa for life in mzuri pia ujumbe mzuriii.
Mwingine ni Sauti Sol ft Patoranking _ Melanin ujumbe mzuriii na melody safii
Nitazisikiliza kwa makini
 
My playlist
1.Photograph-nikelback
2.Home-Doughtry
3.Numb-Linking Pack
4.Mesmerize- Life House
5.Juicy- Notorious BIG
6.Ghetto rmx- Akon ft BIG & PAC
7.Sky's the limit-BIG
Sikukuu ikifika nidai soda hiyo namba 7 ni noma yan umetishaa
 
Fuuck it (I don't want u back) - Eamon

Wrong direction- Passenger
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…