Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha nyan ngabuKikarotii
Cole sent from heaven uko njemaWeka listi yako ya nyimbo ambazo siku haiwezi kuisha bila kuzisikiliza.
Mimi playlist yangu ni hii..
>> Mr Eazi -Hollup
>> Mr Eazi -Sample you
>> Dj spinal ft Mr Eazi -Ohema
>>Designer -Panda.
>>Meek miil ft Big sean & Asap ferg -Bboy
>>Kwesta ft Cassper Nyovest -Ngud'
>>Rich Gang ft Young thug- lifestyle
>>Iyaz Breath
>>Dr Sid ft Korede Bello-Flawles
>>Diamond platinum ft neyo -Marry you.
>>Major league Djz ft Cassper Nyovest -Zulu girl
>>Falz -Soft work
>>Gentries ft Young D &Bele 9 -Chapaa
>>K.o ft Magz &MaE -One time.
>>Keishia Cole -Sent from heaven.
>> Dah pressure -Nivumilie.
Hizo ndio ngoma zangu ambazo kama sikuzisikiliza siku inaisha vibaya na lazima nizisikilize.
Weka zako na wewe
Na wewe ni wimbo gani unaupenda saaaaaana kuliko zote ulizoziweka hapo juu na mimi nijifunze kuupendaNow Bette Middler kanidatisha siachi kumsikiliza
Hiyo listi ni ya Mwaka Jana..Na wewe ni wimbo gani unaupenda saaaaaana kuliko zote ulizoziweka hapo juu na mimi nijifunze kuupenda
Hahaa aisee mkuu kwenye joyner lucas hapo hua nimekua addicted na ngoma zake mbili tu yani "forever" na "i'm not racist"Coldplay-paradise
Coldplay-princess of china
Coldplay-hymm for the weekend
Coldplay-adventure of a lifetime
Coldplay-viva la vida
Joyner lucas ft chriss brown-i dont die
Imagine dragons-who we are
Imagine dragons-monster
Imagine dragons-believer
Calvin harris-feel so close
Chriss brown-beautiful people
The carters-ape shit
Kanye west ft chief keef, big sean, jadakis, pusha t-i dont like rmx
Eminem-phenomenal
Nitazisikiliza kwa makiniHiyo listi ni ya Mwaka Jana..
Mwaka huu in huu wimbo Wa Runtown unaitwa for life in mzuri pia ujumbe mzuriii.
Mwingine ni Sauti Sol ft Patoranking _ Melanin ujumbe mzuriii na melody safii
Sikukuu ikifika nidai soda hiyo namba 7 ni noma yan umetishaaMy playlist
1.Photograph-nikelback
2.Home-Doughtry
3.Numb-Linking Pack
4.Mesmerize- Life House
5.Juicy- Notorious BIG
6.Ghetto rmx- Akon ft BIG & PAC
7.Sky's the limit-BIG
Hujakosea anaimba hivyohivyo hata mimi napapenda hapo zaidiUnipe mrejesho! Hivi pale hua anaimba God is watching us au mm ndo nasikia vibaya?
Napapenda zaid hapo