My playlist: Taja nyimbo ambazo siku haiwezi kuisha bila kuzisikiliza.

Richie Spice. Kings and Queens
Tarrus Rilley. Sorry is sorry word
Lionel Richie & kenny rogers. Lady
Habida. Reason
Ed Sheeran. Shape of you
Glen Washington. Stranger in the night
 
No kissing baby iliyoimbwa na patoranking
 
My playlist
1.Photograph-nikelback
2.Home-Doughtry
3.Numb-Linking Pack
4.Mesmerize- Life House
5.Juicy- Notorious BIG
6.Ghetto rmx- Akon ft BIG & PAC
7.Sky's the limit-BIG
 
Roma & moni _usimsahau mchizi.
Fm academia_ acha tamaa.
Melody mbasa_ nikoleze.
Harmonize_umenipendea nini.

Baadhi tu kati ya nyingi
 
Mtaa wa saba by mbaraka mwisheshe
Colonisation by madilu
Ndoa ndoano by msondo ngoma
Jojina wa mama by marijani rajabu
Jirani by twanga pepeta
Mtaji wa maskini by banza stone
Young africa by pepe kale

daah mjukuu wangu Mondray umenikumbusha mbali sana tena sana enzi hizo redio ilikuwa kwa chifu pekee
 
Sisi ledio ilikua kwa Diwani.
Ulisikiliza hizi?
Mama na Bela
Ndomboro
Gauo
From congo kipindi hicho
 
Umesahau kwasa kwasa za kanda bongo man aah hizo za kisasa na mitoko ya yondo sister. Enzi hizo diwan hakuwepo,diwani wa nn wakati balozi ndio boss wa mtaa bila kusahau mwenyekiti.
Sisi ledio ilikua kwa Diwani.
Ulisikiliza hizi?
Mama na Bela
Ndomboro
Gauo
From congo kipindi hicho
 
Umesahau kwasa kwasa za kanda bongo man aah hizo za kisasa na mitoko ya yondo sister. Enzi hizo diwan hakuwepo,diwani wa nn wakati balozi ndio boss wa mtaa bila kusahau mwenyekiti.
Ulikua unaishi Interior.
Wa mjini diwani alikuepo.
Hv unaweza kumzaa baba au mama yangu kwa huo umri wako?
 
unaju....gillard milo ft nand
sema milele...gillard milo
In your arms...nico and vin
nikikutazama...h_eart the band
 
Etoil detat ya koffi olomide akimshirikisha cindy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…