Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikua unaishi Interior.
Wa mjini diwani alikuepo.
Hv unaweza kumzaa baba au mama yangu kwa huo umri wako?
Sasa kumekuchaa...! Jogoo limeshawika bungeni...! hatariCcm mbele kwa mbele-capt komba
Mbona unaniita mjukuu
Nilitaka kutupia ka LIKE ghafla nakutana na jina YANGA, nimechukua mpira napiga danadana hapa nikukongomeke angalau bao moja la nguvu.Mtaa wa saba by mbaraka mwisheshe
Colonisation by madilu
Ndoa ndoano by msondo ngoma
Jojina wa mama by marijani rajabu
Jirani by twanga pepeta
Mtaji wa maskini by banza stone
Young africa by pepe kale
daah mjukuu wangu Mondray umenikumbusha mbali sana tena sana enzi hizo redio ilikuwa kwa chifu pekee
Safi kabisaPenzi Haligawanyiki - Vijana Jazz - Pamba Moto
Wivu - Vijana Jazz - Pamba Moto
Shoga - Vijana Jazz 'Sagha Rhumba'
Naachia Ngazi - Ngorongoro Heroes Wana 'Sukuma Push - Mitwango'
Cleopatra - Zahir Ally & Sambulumaa
Samahani Ya Uwongo - Tancut Almasi 'Kinyekinye Kisonzo'
Ashura - Magereza 'Mkote Ngoma'
Watoto Machotara - Magereza 'Mkote Ngoma'
Christina Moshi - Safari Sound 'Ndekule Ngoma'
Queen Kasse - Juwata Msondo Ngoma
Penye Penzi Hapakosi Tezi - Juwata Msondo Ngoma
Milima Ya Kwetu - Super Rainbow
Mayanga - Maquiz Original 'Zembwela'
Ngalula - Maquiz Original 'Zembwela'
Matatizo Ya Nyumbani - Mlimani park 'Sikinde'
Hiba - Mlimani Park 'Sikinde'
Asha Bora - Mlimani Park 'Sikinde'
Mtoto Akililia Wembe - Mlimani Park 'Sikinde'
Yaani nina playlist kubwa mno...wenzangu endelezeni.
Nilitaka kutupia ka LIKE ghafla nakutana na jina YANGA, nimechukua mpira napiga danadana hapa nikukongomeke angalau bao moja la nguvu.
Sipend huwez kua bibi yangu.
Kwani hapa kenya?
Kwendraaaaaa.