My playlist: Taja nyimbo ambazo siku haiwezi kuisha bila kuzisikiliza.

My playlist: Taja nyimbo ambazo siku haiwezi kuisha bila kuzisikiliza.

Jaman msaada plz, kuna old skul flan ivi siikumbuki, ila msanii kaimba akiisifia 'zanzbar' yuko na wadada ktk kiitikio, kwenye kiitikio wadada wanaitikia 'zanzibar' mwenye nayo
 
Wakuu mimi naomba kama kuna mwenye ule wimbo unaopigwaga radio free kipindi cha sitosahau, unasema nimekusamehe lakini sitokusahau, anitumie plz. Natanguliza shukrani.
 
Jaman msaada plz, kuna old skul flan ivi siikumbuki, ila msanii kaimba akiisifia 'zanzbar' yuko na wadada ktk kiitikio, kwenye kiitikio wadada wanaitikia 'zanzibar' mwenye nayo
Hata mm naijua. Ila kujua wimbo ndio sijui try znz hivo hvo pengine utapata
 
Playlist yangu

Rich gang&young thug-lifestyle
Jason derulo&minaj-swala-la-la
B.O.B-war witch
G eazy-tumblr girls
Future-move that dope
Future&drake-where you at
Eminem-ass like that
DJ khaleed-hold you down
Kid ink-money and the power
**** you back to sleep (remix)
Shaggy-it wasn't me
Tyga-1 of 1
Nick minaj&drake&wayne-only
Ben paul-tulia kwangu

Hizi playlists ni lazima zisikilizwe kila siku
Uongo
 
f7b38661f051a7b030de01ecfd1e7803.jpg
fe77fec7dd117b4fede3280aae0da453.jpg
2732ecbd5c468964f611a5607cb302c1.jpg
d78e69ce2ee8a56675c08f007f047cd5.jpg
6a5e1ef6c9680e8ba568f63a0c9c9852.jpg

Kila baada ya muda zikichuja nafuta na kutupia zingine. Kuna zile za Wenge Music huwa sizifuti, zinabaki kama makumbusho ya umri wangu
 
Could be loved... We ndio sala kabla ya kutoka kitandan na kabla sijapata usingizi usiku
 
Back
Top Bottom