1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Hata mm naijua. Ila kujua wimbo ndio sijui try znz hivo hvo pengine utapataJaman msaada plz, kuna old skul flan ivi siikumbuki, ila msanii kaimba akiisifia 'zanzbar' yuko na wadada ktk kiitikio, kwenye kiitikio wadada wanaitikia 'zanzibar' mwenye nayo
Nimepekua sana but nimeikosa, mkuu we huna?Hata mm naijua. Ila kujua wimbo ndio sijui try znz hivo hvo pengine utapata
UongoPlaylist yangu
Rich gang&young thug-lifestyle
Jason derulo&minaj-swala-la-la
B.O.B-war witch
G eazy-tumblr girls
Future-move that dope
Future&drake-where you at
Eminem-ass like that
DJ khaleed-hold you down
Kid ink-money and the power
**** you back to sleep (remix)
Shaggy-it wasn't me
Tyga-1 of 1
Nick minaj&drake&wayne-only
Ben paul-tulia kwangu
Hizi playlists ni lazima zisikilizwe kila siku
Kwanini?Uongo
Roma & moni _usimsahau mchizi.
Fm academia_ acha tamaa.
Melody mbasa_ nikoleze.
Harmonize_umenipendea nini.
Baadhi tu kati ya nyingi
Sipho Mabuse - ZanzibarJaman msaada plz, kuna old skul flan ivi siikumbuki, ila msanii kaimba akiisifia 'zanzbar' yuko na wadada ktk kiitikio, kwenye kiitikio wadada wanaitikia 'zanzibar' mwenye nayo
Shukrani mkuu, nimeipata, bila we ningeenyaah!?Sipho Mabuse - Zanzibar