Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
We dogo mbona hujibu swali unakwepa nani kawambia mfate ukristo Yesu? Na nani kawambia wayahudi wafate Uyahudi Mussa? Usilete story nyingi we kwanini basi usiwe Buddhism ambayo ilikuwepo kabla ya ukristo? Si we unajidai ukristo ulikuwepo kabla ya Uislam? Sa mimi na kuambia Uislam official ulitangazwa rasmi na Mtume Muhammad, lakini Mitume wote walikuja na ujumbe wa Kislam kuwa Mungu ni mmoja tu ndiye anaye takiwa kuabudiwa.Ilikuepo ikipindi Cha nyuma Kwa asili ya maandiko ya Quran ni yapi?
Dada kufupisha story tu jibu kwanini mudi kakopy maandiko ya wayahudi na kusema ameshushiwa?We dogo mbona hujibu swali unakwepa nani kawambia mfate ukristo Yesu? Na nani kawambia wayahudi wafate Uyahudi Mussa? Usilete story nyingi we kwanini basi usiwe Buddhism ambayo ilikuwepo kabla ya ukristo? Si we unajidai ukristo ulikuwepo kabla ya Uislam? Sa mimi na kuambia Uislam official ulitangazwa rasmi na Mtume Muhammad, lakini Mitume wote walikuja na ujumbe wa Kislam kuwa Mungu ni mmoja tu ndiye anaye takiwa kuabudiwa.
Ahahahaaha!!!πππ Mohamed angekuwepo leo akakopi Gazeti la Uhuru au Mzalendo mngesema hakukopi bali ni Malaika Gabriel ndiye aliyempelekeaπ€£π€£Mtume alikuwa anapewa reference na Malaika Gabriel
Iran itasambaratisha huu uchumi wa Saudia na watu watagundia kuwa walikuwa wanachezewa akili tu siku zote hizi kumbe Mungu hayupo hapa.As they say, "Power dreams of more Power"
Ayatollah na Islamic regime yake ikifanikiwa kumpiga Israel sio tuu kwamba itaji-establish kama moja kati ya nchi za kuogopeka Middle East na duniani, bali itakuwa ni nchi yenye ushawishi mkubwa and the Shiah Islamic regime will be unstoppable.
Next stop after Israel will be Mecca, kwa hutuba chache(za zamani) nilizosilikiza za Ayatollah haipingiki kwamba huyu jamaa anapatamani, na hakuna njia nyingine efficient ya ku-establish Shiah Islamic rule in the Middle east zaidi ya ku-control the biggest and most popular holy site, Mecca.
Crown prince mwenyew alisema, Kama Iran itafanikiwa kuwa Nuclear power House watawa push Marekani iwasaidie na wao nuclear, kwann? Kwan Saudi ina ugomvi mkubwa sana na Iran hadi itishike Iran kumiliki nuclear?
I think that's their driving ambition.
View attachment 3143168
Mimi tatizo situmii mashoga ama sivyo ningekuonyesha mkono wa mtoto.Dada kufupisha story tu jibu kwanini mudi kakopy maandiko ya wayahudi na kusema ameshushiwa?
Leteni bibilia na taurati wapi imefanana na Qur'an acheni uwongo.Ukiweza niletea robo ya bibilia inafanana na Qur'an itakuwa ajabu kubwa sana hivyo hivyo na taurati. Qur'an ni level ingine.Ahahahaaha!!!πππ Mohamed angekuwepo leo akakopi Gazeti la Uhuru au Mzalendo mngesema hakukopi bali ni Malaika Gabriel ndiye aliyempelekeaπ€£π€£
Sawa aunt side maana umeamua kuitazangaza kazi yako hadharani sema watu kama wewe SI huwa tunawabandua tuMimi tatizo situmii mashoga ama sivyo ningekuonyesha mkono wa mtoto.
Mtume Muhammad kitabu chake ni bora kuliko cha Wayahudi na Wakristo vipi awe ka copy, nenda katafute mabasha unaonyesha mgonjwa.
We ushoga una kusumbua unadhani watu wote wasio kubandika ni madada au mashoga wenzako upo unapapasa humu πSawa aunt side maana umeamua kuitazangaza kazi yako hadharani sema watu kama wewe SI huwa tunawabandua tu
Sawa aunt idd endelea kuinadi kazi yako utapata bashaWe ushoga una kusumbua unadhani watu wote wasio kubandika ni madada au mashoga wenzako upo unapapasa humu π
Afu mashoga kama nyie huwa nawawacha na ujinga wao, nikiendelea kuongea na mashoga takuwa fala tu.
Kuanzia leo sikujibu sababu nimeisha kuona huna unalo lijua zaidi ya ushoga
Noah na Safina ni Biblia Quruani ikaiga Nuhu na Safina.Leteni bibilia na taurati wapi imefanana na Qur'an acheni uwongo.Ukiweza niletea robo ya bibilia inafanana na Qur'an itakuwa ajabu kubwa sana hivyo hivyo na taurati. Qur'an ni level ingine.
Hao ni Mitume nilisha kuambia Mitume wote wamekuja na message moja, Mungu ni mmoja tu na Qur'an lazima 'itawaelezea story zao hao Mitume wa Mungu. na pia mikasa walio kutana noa. Nipe wapi Qur'an ili mkopi Paulo au ilimtaja Paulo ilicho point kuna watu walikuja wakaharibu mafunzo ya Yesu, na huyo ni mmoja wao Paulo πNoah na Safina Biblia Quruani ikaiga Nuhu na Safina.
Moses na Farao Biblia Quruani ikaiga Mussa na Firauni.
Na visa vingine vingi kweli kweliπ
Muhammed kakopi kwenye Bible na Swala 5 kakopi kwenye Dini ya Zoroastra π.Hao ni Mitume nilisha kuambia Mitume wote wamekuja na message moja
HAWA NYUMBU HAWAJIELEWIHuna akili , kafiri hagusi Makkah wakati kila siku Makkah inalindwa na wanajeshi wa USA halafu mkija huku mnasema utawala wa USA ni utawala wa kikafiri , Yaani Mungu ana ruhusu nyumba yake ya ibada iwe ina Lindwa na makafiri wanao support ushoga usagaji ufilaji na mauaji na Huyo mungu yupo Tu amekaa kimya huyo mungu atakuwa na akili kweli !?
Huyo mungu na wanao muabudu wote ni vichaa maana mna contradiction nyingi sana kmmk
Nipe kitu gani ka copy kwenye Bible? Bibilia zinasema Yesu ni Mungu au mtoto wa Mungu je Qur'an inasema hivyo πMuhammed kakopi kwenye Bible na Swala 5 kakopi kwenye Dini ya Zoroastra π.
Hakuna Jipya ndio maana Uisilamu una ugomvi na Dini zote.
Huna Akili, nimekutajia Story za Moses na Noah zilizikopiwa halafu unazidi kuuliza ushahidi?? Acha kujaza serves za JF.Nipe kitu gani ka copy kwenye Bible?
Nilisha kujibu bora niwe sina akili kuliko kushindana na mjinga hafahamu umemjibu nini, unakwepa maswali si nimekueleza Qur'an inasema leteni Surah moja tu kama ya Qur'an mmeshindwa leo miaka zaidi ya 1440 karibu. Kalale nyie hamna dini hakuna dini inaitwa ukristo kwa Mungu au Uyahudi. Kimbilia Mirembe ukawahi kitanda chako kisibebwe na wengineHuna Akili, nimekutajia Story za Moses na Noah zilizikopiwa halafu unazidi kuuliza ushahidi?? Acha kujaza serves za JF.