Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
- Thread starter
- #161
Ironic😁😁😁 Halafu makafiri ndio wanakuja kumsaidia Mungu kuliokoa hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ironic😁😁😁 Halafu makafiri ndio wanakuja kumsaidia Mungu kuliokoa hahaha
As they say, "Power dreams of more Power"
Ayatollah na Islamic regime yake ikifanikiwa kumpiga Israel sio tuu kwamba itaji-establish kama moja kati ya nchi za kuogopeka Middle East na duniani, bali itakuwa ni nchi yenye ushawishi mkubwa and the Shiah Islamic regime will be unstoppable.
Next stop after Israel will be Mecca, kwa hutuba chache(za zamani) nilizosilikiza za Ayatollah haipingiki kwamba huyu jamaa anapatamani, na hakuna njia nyingine efficient ya ku-establish Shiah Islamic rule in the Middle east zaidi ya ku-control the biggest and most popular holy site, Mecca.
Crown prince mwenyew alisema, Kama Iran itafanikiwa kuwa Nuclear power House watawa push Marekani iwasaidie na wao nuclear, kwann? Kwan Saudi ina ugomvi mkubwa sana na Iran hadi itishike Iran kumiliki nuclear?
I think that's their driving ambition.
View attachment 3143168
Siyo kukaa kimya, tunatakiwa kusema.Huujui uovo wa magharibi wewe kaa kimya
Ni mataifa mangapi US na wenzie kayavamia, Iraq,Libya, vietnum,venezuela Afghanistan,Syria, Yemen, Lebanon na gaza kupitia Israel na kuyafanya hayakaliki kuiba mafuta na kuweka viongozi wanaowataka wao. Vikundi kibao wanasapport Us na UK wameua raia wengi wa nchi mbali mbali bila hatia. Kila nchi inabaki yakutoingiliwa na mambo yake ya ndani kawangombanisha ndugu North na south Korea, china na Taiwan. Yaan vurugu tupu pesa anayomwaga Israel kuua watoto na kuisapoti mauaji ya mazayuni. Aseee ushenzi wanaofanya west ni mwingi huu ni baaadhi tu kila mwenye akili anaelewa, anasapoti biashara kubwa na madawa inayoua raia wake mwenyewe ndani ya US uovu uliopindukiaSiyo kukaa kimya, tunatakiwa kusema.
Mimi nimeusema uovu wa mashariki, na wewe useme wa magharibi.
Usipousema maana yake na wewe huujui!
Hakuna ushahidi ya kuwepo Kwa uislam kabla ya mudi uislam umeanzishwa juzi tu Karne ya sitaKwanza napo sema ka copy sio kasoma vitabu vyao hahaha, Mtume alikuwa hajasoma mana ya ku copy ni kwa kuleta ule ule ujumbe wa Mungu walio kuja nao kina Ibrahim, Mussa na Yesu na Mitume wengine. We kwa kuwa kichaa unadhani alicopy vitabu vyao, hivi vitabu ni ujumbe wa Mungu sio Mussa au Yesu waliviandika, walishushiwa na Mungu kama vile Mtume Muhammad wao ilikuwa ni kuvifikisha tu kama ujumbe 😄 Sa Yesu alipo zaliwa alisema nimepewa kitabu, mana yake nini? Mlimuona kazaliwa kashika kitabu hahaha. Alikusudia ujumbe wa Mungu, na kitabu ni reference wa ujumbe ambao utandikwa.
Mungu alisha wauliza mnao sema Ibrahim ni Myahudi dalili zenu ziko wapi? Ibrahim alikuwa ni Muislam. Sa sileteni dalili zinazo sema Ibrahim alikuwa Myahudi? Hamna na hamtaweza kuleta kama vile hamuwezi kuleta dalili Yesu ni mkristo.
Unamjua yacobo na kizazi chake?Kwanza napo sema ka copy sio kasoma vitabu vyao hahaha, Mtume alikuwa hajasoma mana ya ku copy ni kwa kuleta ule ule ujumbe wa Mungu walio kuja nao kina Ibrahim, Mussa na Yesu na Mitume wengine. We kwa kuwa kichaa unadhani alicopy vitabu vyao, hivi vitabu ni ujumbe wa Mungu sio Mussa au Yesu waliviandika, walishushiwa na Mungu kama vile Mtume Muhammad wao ilikuwa ni kuvifikisha tu kama ujumbe 😄 Sa Yesu alipo zaliwa alisema nimepewa kitabu, mana yake nini? Mlimuona kazaliwa kashika kitabu hahaha. Alikusudia ujumbe wa Mungu, na kitabu ni reference wa ujumbe ambao utandikwa.
Mungu alisha wauliza mnao sema Ibrahim ni Myahudi dalili zenu ziko wapi? Ibrahim alikuwa ni Muislam. Sa sileteni dalili zinazo sema Ibrahim alikuwa Myahudi? Hamna na hamtaweza kuleta kama vile hamuwezi kuleta dalili Yesu ni mkristo.
Hizo hadithi za kusema Yesu hakucopy ujumbe wa Mussa na Ibrahim na Yakobo na wengine ni ujinga ulio pitwa. Kwa hio Yesu yeye alileta ujumbe gani? Wa miungi mitatu au?
Tatizo hujui nini mana ya Islam mana yake ni kumuabudu Mungu ni mmoja tu.Hakuna ushahidi ya kuwepo Kwa uislam kabla ya mudi uislam umeanzishwa juzi tu Karne ya sita
Sawa lakini huyo mungu ni Allah na mungu wa Ibrahim SI Allah unaweza ukawa unamwabudu mungu mmoja lakini huyo mmoja anaweza akawa sio sahihi.Tatizo hujui nini mana ya Islam mana yake ni kumuabudu Mungu ni mmoja tu.
Tuliambiwa kuwa Waithiopia walienda na Matembo walivamia Al Kaaba Allah akatuma ndege wenye Mawe kutoka Motoni na kuwaua Waithopia hao😁😁😁😁 Msikiti mtakatifu wa Mungu umekombolewa na wanajeshi wa ufaransa ambao ni makafiri kwanini Mungu asiukomboe yeye mwenyewe wonders shall never ends, tukiwaambia dini ni utapeli hamtaki
Mafarao wa Egypt hawakuwepo wakati wa Mohamed ni Story alizozikopi kutoka kwenye Bible.Kwanza hata nikikuliza kwanini alitwa Firauni huwezi kujua.
Yakobo unataka kusema ana watoto 12 sio kwa hio watoto zake ni Wa yahudi una dalili hao walikuwa dini yao ya kiyahudi? Hebu leta kama dini yao ilikuwa ya KiyahudiUnamjua yacobo na kizazi chake?
Nani anaye kuambia Mtume Muhammad alicopy kwenye bibilia zenu za kujitungia. Mtume alikuwa anapewa reference na Malaika Gabriel kwa yalio tokea nayatakayo tokea. Nyie kapime akili zenu vizuri kama mnadhani ujumbe wa Yesu ni tofauti na Mtume Muhammad.Mafarao wa Egypt hawakuwepo wakati wa Mohamed ni Story alizozikopi kutoka kwenye Bible.
Wapi Mungu alisema Mitume wote ni uzao wa Yakobo leta dalili zako. Mnamzulia Mungu kila kukicha uongo. Huyo Paulo nani alimpa utume? Hahaha dini ya kujibandikia bada ya kuota ndoto yuko hoi chini ya mkunazi kwenye njia panda.Sawa lakini huyo mungu ni Allah na mungu wa Ibrahim SI Allah unaweza ukawa unamwabudu mungu mmoja lakini huyo mmoja anaweza akawa sio sahihi.
Kwaiyo hata sahizi mtu akienda mapangoni Kisha akarudi na kuanza kujiita mtu mtamwamini?
Sasa mudi anatofauti gani na yesu wa chongoleani nchini Kenya aliyeibuka tu na kuanza kujiita mtume
Mitume wote walikuwa wanapatikana kwenye uzao wa yakobo kuanzia yacobo mwenyewe Musa Hadi mfalume Suleiman inakuaje huyu mwarabu mudi aibuke from know where ajiite mtume?
Dalili Ipo wazi Toka yako hakuna mtume ambaye hajatokea kwenye uzao wake ndo maana Kuna kipindi mlikuwa mnasibisha Musa na mitume wengine na waarabu mkagonga mwambaWapi Mungu alisema Mitume wote ni uzao wa Yakobo leta dalili zako. Mnamzulia Mungu kila kukicha uongo. Huyo Paulo nani alimpa utume? Hahaha dini ya kujibandikia bada ya kuota ndoto yuko hoi chini ya mkunazi kwenye njia panda.
Watoto wa yakobo walikuwa waebrania msingi wa uyahudi ni torati ya Musa na haikuepo wakati wa yakoboYakobo unataka kusema ana watoto 12 sio kwa hio watoto zake ni Wa yahudi una dalili hao walikuwa dini yao ya kiyahudi? Hebu leta kama dini yao ilikuwa ya Kiyahudi
Hivi tofauti ya Shia na Sunni ni nini?Kama wao wanaona maisha duniani ni bora sana kuliko yajayo na wafutike tuu wamelewa mambo ya kidunia lile ni eneo takatifu hata wakitolewa pale si dhamana yao lile ni eneo la waislam wote dunian wasaudi ni wanafiki sana Uislam hauna sunni wala shia ni mbwembwe tu wanafanya hao wasaudi na ni verry arrogant kama mazayuni tu
Siasa ndio imeleta shia na sunni. Lakini hicho kitu hakikuwepo kipindi cha Mtume. Kwahio mimi kutofautisha siwezi kwakua naona zile nguzo kuu za Uislam ziko vilevile hata hao wanaojiita shia au sunni nguzo kuu ni hizo hizo 5 sasa hapo siasa tu ni naonaHivi tofauti ya Shia na Sunni ni nini?
Unaona unavyo jichangan'ya kuna dini inaitwa waebrania? Na Mussa wapi aliwambia wayahudi wafate dini ya Kiyahudi. Jibu swali langu acha kuruka ruka wapi Mungu kasema ukristo na uyahudi dini zake? Story nyingi za nini.Watoto wa yakobo walikuwa waebrania msingi wa uyahudi ni torati ya Musa na haikuepo wakati wa yakobo
Ilikuepo ikipindi Cha nyuma Kwa asili ya maandiko ya Quran ni yapi?Unaona unavyo jichangan'ya kuna dini inaitwa waebrania? Na Mussa wapi aliwambia wayahudi wafate dini ya Kiyahudi. Jibu swali langu acha kuruka ruka wapi Mungu kasema ukristo na uyahudi dini zake? Story nyingi za nini.
Aliye leta hayo ni vichaa kama hao Wahabi . Hawa wanajidai wanafata Hanbal wapi na wapi mbingu na ardhi, na ukweli wahabi ni wale Wayahudi wa Najad hawana tofouti.Siasa ndio imeleta shia na sunni. Lakini hicho kitu hakikuwepo kipindi cha Mtume. Kwahio mimi kutofautisha siwezi kwakua naona zile nguzo kuu za Uislam ziko vilevile hata hao wanaojiita shia au sunni nguzo kuu ni hizo hizo 5 sasa hapo siasa tu ni naona