My Prediction: Iran's Islamic Republic ikifanikiwa kuwa Nuclear Power House, Next Stop will be Mecca


Wanafurahi kuleta mfarakano baina ya Waislam iwe divide and rule. Na ndio maana tunaona matokeo haya. Iran imesimama kutetea wanyonge wanaouwawa ovyo kukiuka sheria zote za vita duniani na mchochezi mkuu wa mauaji haya ni Marekani ambayo watawala wake wanaamrishwa na natanyahu shetani mkuu wa dunia, Lakini mbali na haya yote wanamgambo wa Gaza na Hezbollar hawajasalimu amri, mkuu wao wa Gaza kafa akipigana wakati natanyahu anakimbilia shimoni na kusabsbisha vifo ovyo,


View: https://youtu.be/2j6BE_11E_o?si=sA5_ncttTYxTRyGF
 
Huujui uovo wa magharibi wewe kaa kimya
Siyo kukaa kimya, tunatakiwa kusema.

Mimi nimeusema uovu wa mashariki, na wewe useme wa magharibi.

Usipousema maana yake na wewe huujui!
 
Siyo kukaa kimya, tunatakiwa kusema.

Mimi nimeusema uovu wa mashariki, na wewe useme wa magharibi.

Usipousema maana yake na wewe huujui!
Ni mataifa mangapi US na wenzie kayavamia, Iraq,Libya, vietnum,venezuela Afghanistan,Syria, Yemen, Lebanon na gaza kupitia Israel na kuyafanya hayakaliki kuiba mafuta na kuweka viongozi wanaowataka wao. Vikundi kibao wanasapport Us na UK wameua raia wengi wa nchi mbali mbali bila hatia. Kila nchi inabaki yakutoingiliwa na mambo yake ya ndani kawangombanisha ndugu North na south Korea, china na Taiwan. Yaan vurugu tupu pesa anayomwaga Israel kuua watoto na kuisapoti mauaji ya mazayuni. Aseee ushenzi wanaofanya west ni mwingi huu ni baaadhi tu kila mwenye akili anaelewa, anasapoti biashara kubwa na madawa inayoua raia wake mwenyewe ndani ya US uovu uliopindukia
 
Hakuna ushahidi ya kuwepo Kwa uislam kabla ya mudi uislam umeanzishwa juzi tu Karne ya sita
 
Unamjua yacobo na kizazi chake?
 
Tatizo hujui nini mana ya Islam mana yake ni kumuabudu Mungu ni mmoja tu.
Sawa lakini huyo mungu ni Allah na mungu wa Ibrahim SI Allah unaweza ukawa unamwabudu mungu mmoja lakini huyo mmoja anaweza akawa sio sahihi.

Kwaiyo hata sahizi mtu akienda mapangoni Kisha akarudi na kuanza kujiita mtu mtamwamini?

Sasa mudi anatofauti gani na yesu wa chongoleani nchini Kenya aliyeibuka tu na kuanza kujiita mtume

Mitume wote walikuwa wanapatikana kwenye uzao wa yakobo kuanzia yacobo mwenyewe Musa Hadi mfalume Suleiman inakuaje huyu mwarabu mudi aibuke from know where ajiite mtume?
 
😁😁😁😁 Msikiti mtakatifu wa Mungu umekombolewa na wanajeshi wa ufaransa ambao ni makafiri kwanini Mungu asiukomboe yeye mwenyewe wonders shall never ends, tukiwaambia dini ni utapeli hamtaki
Tuliambiwa kuwa Waithiopia walienda na Matembo walivamia Al Kaaba Allah akatuma ndege wenye Mawe kutoka Motoni na kuwaua Waithopia hao

Swali ni je mbona 1979 Allah hakutuma tena Ndege nk.?!
 
Unamjua yacobo na kizazi chake?
Yakobo unataka kusema ana watoto 12 sio kwa hio watoto zake ni Wa yahudi una dalili hao walikuwa dini yao ya kiyahudi? Hebu leta kama dini yao ilikuwa ya Kiyahudi
 
Mafarao wa Egypt hawakuwepo wakati wa Mohamed ni Story alizozikopi kutoka kwenye Bible.
Nani anaye kuambia Mtume Muhammad alicopy kwenye bibilia zenu za kujitungia. Mtume alikuwa anapewa reference na Malaika Gabriel kwa yalio tokea nayatakayo tokea. Nyie kapime akili zenu vizuri kama mnadhani ujumbe wa Yesu ni tofauti na Mtume Muhammad.
 
Wapi Mungu alisema Mitume wote ni uzao wa Yakobo leta dalili zako. Mnamzulia Mungu kila kukicha uongo. Huyo Paulo nani alimpa utume? Hahaha dini ya kujibandikia bada ya kuota ndoto yuko hoi chini ya mkunazi kwenye njia panda.
 
Wapi Mungu alisema Mitume wote ni uzao wa Yakobo leta dalili zako. Mnamzulia Mungu kila kukicha uongo. Huyo Paulo nani alimpa utume? Hahaha dini ya kujibandikia bada ya kuota ndoto yuko hoi chini ya mkunazi kwenye njia panda.
Dalili Ipo wazi Toka yako hakuna mtume ambaye hajatokea kwenye uzao wake ndo maana Kuna kipindi mlikuwa mnasibisha Musa na mitume wengine na waarabu mkagonga mwamba

Na wewe tupe dalili ya mtume mwarabu tofauti na mudi
 
Yakobo unataka kusema ana watoto 12 sio kwa hio watoto zake ni Wa yahudi una dalili hao walikuwa dini yao ya kiyahudi? Hebu leta kama dini yao ilikuwa ya Kiyahudi
Watoto wa yakobo walikuwa waebrania msingi wa uyahudi ni torati ya Musa na haikuepo wakati wa yakobo
 
Hivi tofauti ya Shia na Sunni ni nini?
 
Hivi tofauti ya Shia na Sunni ni nini?
Siasa ndio imeleta shia na sunni. Lakini hicho kitu hakikuwepo kipindi cha Mtume. Kwahio mimi kutofautisha siwezi kwakua naona zile nguzo kuu za Uislam ziko vilevile hata hao wanaojiita shia au sunni nguzo kuu ni hizo hizo 5 sasa hapo siasa tu ni naona
 
Watoto wa yakobo walikuwa waebrania msingi wa uyahudi ni torati ya Musa na haikuepo wakati wa yakobo
Unaona unavyo jichangan'ya kuna dini inaitwa waebrania? Na Mussa wapi aliwambia wayahudi wafate dini ya Kiyahudi. Jibu swali langu acha kuruka ruka wapi Mungu kasema ukristo na uyahudi dini zake? Story nyingi za nini.
 
Unaona unavyo jichangan'ya kuna dini inaitwa waebrania? Na Mussa wapi aliwambia wayahudi wafate dini ya Kiyahudi. Jibu swali langu acha kuruka ruka wapi Mungu kasema ukristo na uyahudi dini zake? Story nyingi za nini.
Ilikuepo ikipindi Cha nyuma Kwa asili ya maandiko ya Quran ni yapi?
 
Aliye leta hayo ni vichaa kama hao Wahabi . Hawa wanajidai wanafata Hanbal wapi na wapi mbingu na ardhi, na ukweli wahabi ni wale Wayahudi wa Najad hawana tofouti.

Wahabi wana kufurisha Madhehebu mengine we ukiwa Shia wanakuita MajoosπŸ˜„ Ukiwa Ibadhi wanakuita Khawareeji πŸ˜„ Kwanza hao Ma Wahabi hata kwenye sector nne za sunni hawapo ambao wanajulikana ni Hanafi, Maliki, Shafi'i na Hanbal afu wanajita ma Sunni hahaha.

Wahabi hata hizo sect nne za sunni anaasema wako mbali na mafunzo ya Qur'an wakati yeye hafati Qur'an inavyo sema. Wao mahodari tu wakuisoma Qur'an bila kufata vipi Qur'an inasema ni kidogo sana wanafata.

We huoni masheikh wao wanawasema Hamasi exactly kama Wayahudi. We angalia wafuasi wa ISIS wote ni Mawahabi karibu. Kuhusu waalio leta ujinga wa madhehebu ambao haukuwepo wakati wa Mtume Muhammad walitaka kuwaiga wayahudi hahaha kuna Mizrach Israel, Babylonia, Persia, Ashkenazi (Gaul, Kahazaria, Eastern Europe), Sephardim (Iberian, later North African)

Ukitaka kujua back ground ya hao Wahabi katazame kuna Majewish wanaitwa kwa utani Jewish "Wahabis" ambao tabia zao kama hao Wahabi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…