My Prediction: Iran's Islamic Republic ikifanikiwa kuwa Nuclear Power House, Next Stop will be Mecca

😆😆😆 swali langu ...kama Allah anapalinda mbona Juhayman alipavamia na kukaa Wiki moja na ushee mbona Allah asimzuie Juhayman?!

Uongo wako umefika ukingoni😆
Swali alibaki au aliondolewa sa kukaa wiki moja ndio nini. Niletee alitawala Makkah akabaki pale ndio mtawala unaniletea hadithi za mtu kichaa eti kavamia Makkah kwa wiki. Sa alivamia Makkah kwa nia ipi si abaki kutawala pale alitawala? Muongo wewe hujui nini mana ya accident. Ni sawa sawa na nyie mnasema Yesu ni mtoto wa Mungu vipi aliruhusu waisrael wampige chain msalabani basi si mnasema alikufa siku tatu, kwa hio Mungu hakumlinda Yesu kwa ujinga wenu😄
 
We tule tu accident twa hapa na pale tukitokea ndio unataka Mungu azuie, kuna vitu vingine Mungu anaruhusu vitokee ili kupima imani za waislam
Kaaba inalindwa na mungu.
Kitu kibaya chochote hakiwez kutokea kaaba.
Ila kitu chochote kibaya kikitokea kaaba ni mungu anawapima waislamu.

This is called circular reasoning, it doesn't make sense at all, ni kawaida yenu kuwa na apologetic excuses kama hizi, sishangai!
 
As they say, "Power dreams of more Power"

Ayatollah na Islamic regime yake ikifanikiwa kumpiga Israel sio tuu kwamba itaji-establish kama moja kati ya nchi za kuogopeka Middle East na duniani, bali itakuwa ni nchi yenye ushawishi mkubwa and the Shiah Islamic regime will be unstoppable.

Next stop after Israel will be Mecca, kwa hutuba chache(za zamani) nilizosilikiza za Ayatollah haipingiki kwamba huyu jamaa anapatamani, na hakuna njia nyingine efficient ya ku-establish Shiah Islamic rule in the Middle east zaidi ya ku-control the biggest and most popular holy site, Mecca.

Crown prince mwenyew alisema, Kama Iran itafanikiwa kuwa Nuclear power House watawa push Marekani iwasaidie na wao nuclear, kwann? Kwan Saudi ina ugomvi mkubwa sana na Iran hadi itishike Iran kumiliki nuclear?

I think that's their driving ambition.

View attachment 3143168
Iran atakuwa na nyuklia vizuri tu na ataungana na russia, turkey, na nchi zingine za kiislam kutaka kuifuta Israel na hapo ndo utakuwa mwisho wao
 
We tule tu accident twa hapa na pale tukitokea ndio unataka Mungu azuie, kuna vitu vingine Mungu anaruhusu vitokee ili kupima imani za waislam. Je Makkah iliwahi kuwaka moto ikaungua au mvua ikabeba Kaaba au Black stone.

Nyie taifa teule lenu mvua zinabeba kila kitu na linawaka moto linatandikwa Missiles je uliona kuna mtu kagusa Makkah kwa Missiles. Mwambie adui ajaribu arushe Missiles one.
Karbala na Najaf imeifunika makkah.

Unabisha?
 
Kila nikionaga comment yako nawazaga huyu jamaa hivi ana elimu kweli?? Au anatoa akili?
Sawa 1979 hukuwepo lakini huwez hata kutumia mtandao ukafatilia, eti nimemwacha na ujinga wake, the was speaking historical facts we unabaki unakanusha tuu na kujichekesha bila hoja yoyote.

Kwa taaifa yako, vikosi vya Saudi pamoja na french special forces walitumia wiki mbili kumuondoa Juhayman na kikosi chake.

IGNORANT!
Walio muondoa ni jeshi la Saud Arabia hao Wafaransa vipi waende huko wakati wakristo. Dalilili zote zinasema ni jeshi la Saud Arabia hilo la France sijui kama liliwasaidia sina dalili hizo.

Kwa hio Mtu akichukua sehemu kwa week mbili kinguvu ndio Mungu hapalindi pale sa mbona hakukaa huyo kichaa.
 
Kila nikionaga comment yako nawazaga huyu jamaa hivi ana elimu kweli?? Au anatoa akili?
Sawa 1979 hukuwepo lakini huwez hata kutumia mtandao ukafatilia, eti nimemwacha na ujinga wake, the was speaking historical facts we unabaki unakanusha tuu na kujichekesha bila hoja yoyote.

Kwa taaifa yako, vikosi vya Saudi pamoja na french special forces walitumia wiki mbili kumuondoa Juhayman na kikosi chake.

IGNORANT!
Huyo Jamaa kalewa Dini.
 
Kama wao wanaona maisha duniani ni bora sana kuliko yajayo na wafutike tuu wamelewa mambo ya kidunia lile ni eneo takatifu hata wakitolewa pale si dhamana yao lile ni eneo la waislam wote dunian wasaudi ni wanafiki sana Uislam hauna sunni wala shia ni mbwembwe tu wanafanya hao wasaudi na ni verry arrogant kama mazayuni tu
Sasa wewe mmatumbi wa kimbiji na savu lachore unaumia wapi....?? Ili hali wewe sio suni wala Shia wa kiarabu........wewe ni Cheusi mangala wa suni au shia
 
As they say, "Power dreams of more Power"

Ayatollah na Islamic regime yake ikifanikiwa kumpiga Israel sio tuu kwamba itaji-establish kama moja kati ya nchi za kuogopeka Middle East na duniani, bali itakuwa ni nchi yenye ushawishi mkubwa and the Shiah Islamic regime will be unstoppable.

Next stop after Israel will be Mecca, kwa hutuba chache(za zamani) nilizosilikiza za Ayatollah haipingiki kwamba huyu jamaa anapatamani, na hakuna njia nyingine efficient ya ku-establish Shiah Islamic rule in the Middle east zaidi ya ku-control the biggest and most popular holy site, Mecca.

Crown prince mwenyew alisema, Kama Iran itafanikiwa kuwa Nuclear power House watawa push Marekani iwasaidie na wao nuclear, kwann? Kwan Saudi ina ugomvi mkubwa sana na Iran hadi itishike Iran kumiliki nuclear?

I think that's their driving ambition.

View attachment 3143168
= Makkah.
 
Kama wao wanaona maisha duniani ni bora sana kuliko yajayo na wafutike tuu wamelewa mambo ya kidunia lile ni eneo takatifu hata wakitolewa pale si dhamana yao lile ni eneo la waislam wote dunian wasaudi ni wanafiki sana Uislam hauna sunni wala shia ni mbwembwe tu wanafanya hao wasaudi na ni verry arrogant kama mazayuni tu
Baadaa ya zayuni mashoga zake kuchezea kichapo na kuona makubaliano ya Saudi Arabia na Iran kufanya mazoesi ya kijeshi pamoja. tegemea kila aina ya fitna na unafik.

Ulioletwa hapa na mleta mada ni unafik tu. Haijsalishi Makkah ipo chini ya nani mradi awe Muislam tu, Waislam waende wakahiji tu, tosha kabisa.

Sioni tatizo lolote hapo.
 
Kama wao wanaona maisha duniani ni bora sana kuliko yajayo na wafutike tuu wamelewa mambo ya kidunia lile ni eneo takatifu hata wakitolewa pale si dhamana yao lile ni eneo la waislam wote dunian wasaudi ni wanafiki sana Uislam hauna sunni wala shia ni mbwembwe tu wanafanya hao wasaudi na ni verry arrogant kama mazayuni tu
Mtume Muhammad (s.a.w) alishasema zama za mwisho uislam utagawanyika madheheb takriban 70 na waislam watakao fanikiwa kuipata pepo ya Allah ni wale watakaoshika Qur'an na sunnah za mtume na maswahaba zake, sasa kwa muislam wa kweli unaemuamini mtume Muhammas(S.A.W.) unapaswa kukubaliana na hilo... na Allah ni mjuzi zaidi wa mambo yote.
 
Hakuna kitu wanachoogopa mazayuni na washoga zao wa kimagharibi kama Waajemi kupatana na nchi za Kiarabu.

Lazima itumike divide and rule kutoka kila pembe.
 
Kama wao wanaona maisha duniani ni bora sana kuliko yajayo na wafutike tuu wamelewa mambo ya kidunia lile ni eneo takatifu hata wakitolewa pale si dhamana yao lile ni eneo la waislam wote dunian wasaudi ni wanafiki sana Uislam hauna sunni wala shia ni mbwembwe tu wanafanya hao wasaudi na ni verry arrogant kama mazayuni tu
Bila nguvu ya USA, Prince Salman ni hamna kitu pale.
 
Hakuna kitu wanachoogopa mazayuni na washoga zao wa kimagharibi kama Waajemi kupatana na nchi za Kiarabu.

Lazima itumike divide and rule kutoka kila pembe.
Marekani ni wajanja sana. Walivyoona mnapenda sana hizi imani za kusadikika wao wakapita humo humo.

Wanajua kuwakataza itakuwa ngumu sasa wao wakapita humo humo kudumisha kitovu cha imani na sasa wamefungua madangulo na mabaa ya Pombe.

The Once Called Holy place for Hijjah
 
Sasa ndio umeongea nini?! Kila siku nakuambia wahi Mirembe.
Kwa kuwa wewe ni kichaa nataka kukufamisha hivi, Mungu sio lazima apigane au akulinde yeye direct. anaweza kutuma jeshi au nchi hio au nchi nyingine kupalinda hio sehemu isizurike.

Sawa sawa na mtu akikosa chakula sio lazima Mungu ashuke yeye kumlish, anafanya watu wamuonee huruma yule mtu ili wamsaidie.

Tatizo nyie ni vichaa mnaelewa nini zaidi ya kuabudu binadamu.
 
Back
Top Bottom