Kwa upumbafu unatakiwa ujiepushe sa ukibaki unawatazama bila kuwakataza na wewe unatandikwa tu afu huko mbele Allah atamua yeye akupeleke motoni au peponi.
Mungu ni mwema lakini wema ukizidi vichaa wanazidi, ni lazima awatie adabu.
Kwa hio wewe unadhani kila wanao kufa wameonewa sio. Kuna vifo vingine ni kheri kuliko kuishi na binadamu wanao amini binadamu ni Mungu.
Hao walio kufa Turkey, Iran na Afghanistan inaerzekana ni kheri kwao si ajabu wangebaki duniani wangeteseka si ajabu hata watoto wao wasinge wajali au wangesumbuka na maradhi.
Hivi wewe hauta kufa? Sa kufa toka lini kukawa kosa unless uwe umeuwa au umeuliwa na binadamu. Kufa kwa earthquake au mafuriko au kama wanavyo uliwa huko watoto Gaza au vitani hio inaweza kuwa bora kwao kuliko kuishi duniani.