very true, unfortunately. Mwanzo unadhani it is just kwa muda kumbe ndio basi tena. what are the causes? mi niliona ni kwamba we think that if people buy cars they will get faster to the working place and faster home, maximizing the time they spend at both place.Kazini a computer will minimize the time spent handwriting, and to conceive, calculate all that one needs etc. that tim can then be used to be spent with family. kazini tukaambiwa to work more, tupewe promotion na hivyo vitu vyote.Home tukaambiwa if we have a washing mashine, dish washing mashine, vaccum na vingine vitapunguza time ya household work na housewives vatapata time with their families. nyumbani tukapewa credit na bank alafu tukapata hizo machine.Tatizo lilionekana wakati that extra time was now used kwa kutenganisha watu kuliko kuwaweka pamoja...In that disapointment, tunarudi tena kazini, to work even more, tupate more time ku-correct what went wrong and again the extra time is misused (more work, nyumba ndogo, bar and friends, etc)