Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Are you among them?Sixty-eight percent of the senior executives interviewed said they had neglected their family lives to pursue professional goals..
Sixty-eight percent of the senior executives interviewed said they had neglected their family lives to pursue professional goals..
matokeo yake ni kuwa malezi ya watoto kwenye familia yanasuasua sana..............watoto huishia kuwa kwenye maelekezo ya watu ambao hawana manufaa kwao ya muda mrefu na kujisikia wazazi wao kama ni wageni kwao........................misingi ya malezi huporomoka katika mazingira ya namna hii........