My review of a song of Ice and Fire: Game of Thrones series


Psycho Ramsay
 
Arya stark ni the best kwangu anajua kupambana tena kivyake hategemei utoto wake, uanamke wake na kuwa mtoto wa lord vimbebe mpaka akaweza kulipa kisasi mwenyewe kwa walder Frey , king of bravos
Ila sijafurahishwa alivokufa daeneys tangerian
 
Nilifurahi sana alivokufa khalese, mother of dragon kwasababu aliwachoma sana watu wa kingslanding bila hatia. Aliwachoma raia kwa makusudi kabisa. Malipo yake aliyapata
Yule alilazimika kuwa vile maana alikuwa kwenye threats ya kuuawa na kumbuka ni tangerian pekee aliyebakia
 
Ila kwenye hii series yaani kosa moja tu unapotea wewe, kizazi chako na himaya yako yote hamna huruma
 
Mm kwangu Muvi ya maana ni Prison Break, Gumioh(story of six fox tell) na Shine or Go crazy (Gaibong) ila siwezi kukipenda kitu eti kwa kuwa obama kapenda. Huu ni utumwa kama utumwa mwingine ukizingatia kila mtu na hob yake. Hobbit ni story nzuri hasa kwa technology ya sungura kuvuta mkokoteni kwa kasi kubwa polini
 

Nimeangalia series nyingi sana kabla na baada GOT
Series nzuri tena sana tu zipo nyingi sana kulingana na taste ya mtu
Sikuwa kabisa kupenda series za fantasy jamii ya GOT nilikua napenda sana series za kisasa kama 24 hrs, PB, BB nk
Nina tabia ya ku google movie/series ili kupata nzuri ya kudownload, kila niki google the best series GOT inakuja juu, nikisoma genre yake naipotezea
Siku moja ikiwa season 3 nikasema ngoja nikomae niiangalie...... the rest is history

Nikiielewa sana kuliko series yoyote ile chini ya hii dunia

Baada ya series kwisha ndio nikaja kujua kwamba Obama naye alikua shabiki lia lia wa GOT

Hakuna mtu ameipenda hii series sababu ya Obama
Series yenyewe inajiuza mkuu
 
Arya stark ni the best kwangu anajua kupambana tena kivyake hategemei utoto wake, uanamke wake na kuwa mtoto wa lord vimbebe mpaka akaweza kulipa kisasi mwenyewe kwa walder Frey , king of bravos
Ila sijafurahishwa alivokufa daeneys tangerian

Arya alianza Season 1 akiwa katoto kadogo kweli

Kufika Season 8 Arya akamuomba Gendry ampige mjengo asije akafa bure bila kuonja..... acha wananzengo waje juu wakidhani bado mtoto wa season 1 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Arya alikua ndio mmoja wa main character ambaye hadi season 8 alikua hana scene ya kugegedana, lakini kwenye GOT anything can happen muda wowote na kwa yeyote
 
Dada yake mwenyewe sansa alianza kumuogopa
 
Hii series ina heka heka kutoka season 1 mpaka 8 , ina ladha ya tofauti mpaka Facebook kuna page kibao za wahusika wa GOT watu wanaowaadmire
 
Hii series ina heka heka kutoka season 1 mpaka 8 , ina ladha ya tofauti mpaka Facebook kuna page kibao za wahusika wa GOT watu wanaowaadmire

The Bloody King Play.


Baratheon: Ahh! Oh, m*rder*d by a boar. The great big hairy whore. He dug in his tusks and dug out my guts and soon I am no more.

Jofrey: Oh, come, Father, in bed you must lie. I love you, Father. Please don't die.

Baratheon: Shut up, you swine! Cersei, more wine. (laughs)

Sercie: I feel the winds of winter as they lick across the land. And our son alone on that cold, cold throne without a guiding hand. Who will teach him strength? Who will teach him grace? To whom will he turn when it's time to learn to look darkness in the face?

Baratheon: Ned Stark will do fine. Now bring me more wine. (crowd laughs) (footsteps)

Ned :Ooh! Ooh, what's happened here, then?

Tyrion: He brought you here, Ned Stark, 'cause you're the brightest fellow in the land. You should be king of us all and I should be your Hand.


Ned: We men of the North are right good hands at keeping people lawful. I'd ask him for permission, but he smells too bloody awful. (screams) (crowd laughs)

Baratheon: I die! I die! And here I now must lie. Oh, woe. Oh, no. (farts) (laughing) Oh, I am about to go. (farting)

Sercie: Will you stay on as Joffrey's Hand?
Ned: The Iron Throne's what I demand. Sercie:You cannot.
Ned: I can.
You will not. I will. You dare not. I dare yes. The line of succession. What's that mean? The proper progression. What's that mean? The lawful ascension. What's that mean? (laughing) (music playing) (cheering)

Jofrey: So move along, give me my chair and there won't be no more trouble. (grunts) (crowd laughs)

Ned: But we had a deal all done and dusted. I'm starting to think you can't be trusted. (laughter, applause)

Sansa: Save my father.
Sercie: Truly you should. k*ll*ing the man will do you no good. Save him, please. Show him mercy. Show the people what a good king should be.

Jofrey: Good people, you may all relax. My father's friend shall be spared the-- (audience gasps) (gasps) (music playing)

Sansa actor: Father! No! Oh, Father. Oh! (laughter)

Tyrion actor: Worry not! All is well. I have here a decree from my father Tywin Lannister, the richest man you'll see. He proclaims me Hand of the King. The position's mine for life. And he's given me permission to take Sansa as my wife. (screams) (crowd booing) You'll learn that what I lack in height, I make up for in appetite. (screams) So let's forget about your plight, and go rehearse our wedding night.
 
Wadau nimechimbua mafile uko kumbe Emilia Clarke ama Daenerys Tangeryian alikuwa anaumwa kwenye season 1 na season 3 nafikiri ndiyo maana waandaji walifanya tu afe ili part yake iishe maana hakustahili kabisa
 

Niliangalia Season 1 miaka ya nyuma kidogo nikampa ndg yangu alikuwa haifahamu cha ajabu akaangalia seasons zote akanipita mpaka akawa anasubir episodes moja moja zinavyotoka[emoji28]
 
Kijana inaonyesha umeanza kufuatilia GOT juzi juzi eeh.
Alikua anaumwa hadi akafanyiwa mchago mtandaoni na fans wa GOT
 
Ndiyo nimeimaliza mda si mrefu nilikuwa naiona naipita
Jiandae kwa house of the dragon, prequal ya GOT, inayoelezea history ya Targaryen miaka 100 before event ya Game of throne,

Inatoka mwaka huu, tareh bado hbo hawajaitangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…