Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana kitazama one the greatest series ever made. Ukimaliza iangalie upya ufuatishe neno kwa neno. Hua napenda sana kusikia wanavyojibishana. Nina kama mara 12 nimeitazama hadi mwisho halafu kuna ile unatazama maybe episodes mbili tatu hiyo haihesabikiLannisters always pay their debts....
wakati unaanzisha huu uzi nilisema tu moyoni nitacomment nikishaiangalia...
now nipo season 6 nimeona mimi nije nilipe deni langu😂
Muda Mkuu...Hongera sana kitazama one the greatest series ever made. Ukimaliza iangalie upya ufuatishe neno kwa neno. Hua napenda sana kusikia wanavyojibishana. Nina kama mara 12 nimeitazama hadi mwisho halafu kuna ile unatazama maybe episodes mbili tatu hiyo haihesabiki
Usipende spoiler ... Endelea kula Ndoige za suprise.. Onyo langu tu usichague stering kwenye hiyo series hauta amini macho yako.Muda Mkuu...
Nipo season 7 now episode ya 5....
Sijamuona Ghost (wolf) akifa... ila sijamuonaa since Jon ameleft walls....
any explanation...
Me na Obama tupo Sawaa... Jon Snow ni mwamba akifa nitasikitika sanaaaUsipende spoiler ... Endelea kula Ndoige za suprise.. Onyo langu tu usichague stering kwenye hiyo series hauta amini macho yako.
[emoji16]Me na Obama tupo Sawaa... Jon Snow ni mwamba akifa nitasikitika sanaaa
Rule no 1 ya GOT, usiwe na character wako[emoji23] utapigwa ndoige ambayo hutoaminiMe na Obama tupo Sawaa... Jon Snow ni mwamba akifa nitasikitika sanaaa
daah... Nimeshajiandaa kisaikolojia Mkuu nasikilizia atakufa vip MwambaRule no 1 ya GOT, usiwe na character wako[emoji23] utapigwa ndoige ambayo hutoamini
Sitaki nikuspoil kama atakufa o hatakufa,, endelea kuangaliadaah... Nimeshajiandaa kisaikolojia Mkuu nasikilizia atakufa vip Mwamba
Sawaa mkuuSitaki nikuspoil kama atakufa o hatakufa,, endelea kuangalia
NBC mcheki huyo jamaaa telegram mwombe link ya movie......Wakuu Lord of the rings ile ya zamani naipata vipi. Hii mpya sijaipenda
Daenerys Targaryen (to masters): We obviously didn't communicate clearly. We're here to discuss your surrender, not mine.Hello GOT fans, Moja kati ya diologue nazozipenda hua nacheka sana hua ni hii. Bran anaenda kwenye Tower alipokua kafungwa Aunt yake Lyanna. Ned stark akiwa kijana na rafiki zake wanavamia hapo wanapigana...Bran akamwita Ned, Ned akageuka bran akataka kumfuata Three Eyed Raven akamziwia.
===
THREE-EYED RAVEN: I’ve told you many times, stay too long where you don’t belong and you will never return.
BRAN: Why do I want to return? So I can be a cripple again? So I can talk to an old man in a tree?
THREE-EYED RAVEN: You think I wanted to sit here for 1,000 years watching the world from a distance as the roots grew through me?
BRAN: So why did you?
THREE-EYED RAVEN: I was waiting for you.
BRAN: I don’t want to be you.
THREE-EYED RAVEN: I don’t blame you.You won’t be here forever. You won’t be an old man in a tree. But before you leave, you must learn.
BRAN: Learn what?
THREE-EYED RAVEN: Everything.
Sasa mbona Steven hahusiki na graphics?? Yeye ni Writter tu, VFX department ndio wanahusika unless awe Producer pia. Ila anajitahidi sana kazi zake kama Daredevil, Smallville ziko bomba sana.By the way what about Steven DeKnight.
Graphics za kwenye Spartacus so mchezo na story ni Kali sana mule.