My review of a song of Ice and Fire: Game of Thrones series

If you think this has a Happy ending, you haven't been paying attention

hii movie ina balaa sio la kitoto 🙌🙌🔥🔥🔥
 
S5 tyrion baada ya kutorokea Volantiss na Varys wakaenda kwenye danguro..Mlinzi wa dabguro akamshika kichwa afu akasem "Its good to rub dwarf's head"
Tyrion akajibu "It's good to rub Dwarf's cock too"
Mwenyewe anajiita good of titts and wines
🤣🤣🤣🤣
 
Nimefika Iris Ep 4 story iko bomba ila wanaboa na habari zao za mapenzi. Mambo ya kupendana pendana mie sitakagi. Love onlu makes you weak and stupid

Ivumilie mkuu picha ina mahesabu sana hiyo

Kwa korea upande wa picha za kijasusi hiyo kwangu ni GOAT
 
Ivumilie mkuu picha ina mahesabu sana hiyo

Kwa korea upande wa picha za kijasusi hiyo kwangu ni GOAT
Ni kweli ipo vizuri sana nimeipenda ila Vagabond ipo realistic kidogo Kwenye actions. Labda kwakua moja ni ya kisasa
 
Wakuu nimeanza upya kutazama GOT sijui ni mara ya ngapi sasa naingalia. Maana nairudia rudia toka 2019.
Ila kila nikiitazama naiona mpya hasa dialogue zake
[emoji28]ingekuwa sina season ya kuangalia ningeirudia tena na mimi ila ndo hvyo npo naangalia THE AMERICANS

Sent from my CPH2159 using JamiiForums mobile app

🤣🤣🤣🤣

Nikishaiona ,ni nzuri pia

Jaqen...God of faces best character to me
 
Wakuu nimeanza upya kutazama GOT sijui ni mara ya ngapi sasa naingalia. Maana nairudia rudia toka 2019.
Ila kila nikiitazama naiona mpya hasa dialogue zake
Kitu cha kushangaza kwenye hii tv show. Ukiitazama upya unagundua kitu kipya pia.
 
Wakuu nimeanza upya kutazama GOT sijui ni mara ya ngapi sasa naingalia. Maana nairudia rudia toka 2019.
Ila kila nikiitazama naiona mpya hasa dialogue zake
Mimi naangalia season 1 had ya 8, nikimaliza ya nane tu natamani kurudia ya kwanza. Narudia tena 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…