Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
Nyie majamaa hampo serious... Yani comment zote hizi hakuna alie wazungumzia ma white walker!!!????
Wale jamaa walikua ni fireeee....Yani wakiamua kuanzisha Timbwili mi mpaka tv ilikua inazima kwa mshtukoo....
Afu Sasa wanakua wengiiiii wameganda hawatikisi hata ukuchaaa.......then nyuma kabisa zinakua zimesimama chemba nne zipo juu ya mafarasi hatari afu zinamisura ya kikauzuuuuu......
Mother of dragon Kuna episode moja alijichanganya vibaya kwa Hawa majamaa na dragon zake......Basi walker moja likadondosha dragon moja...wakamchukua yule dragon wakamgeuza walivotaka wao.......mamaaaaaaaa!!!!!! Dragon alipofufuka alikua Kama kalishwa bangi Yani.......anatema blue fire afu hana habarii Yani mda wote hasiraaaa.......
Yule dogo mlemavu aliekua anajifanya anajua kuwapiga chabo kupitia mwewe.....Kuna moment walikua wanamshtukia....weeeeeeee!!!!!! Wakikutana tu macho na Yale majamaa Basi dogo alikua anataman hata ainuke kwenye wheel chair akimbiee kwa miguu yake......pumbaaavu...
Ilikua ikifika scene inayowaonesha white walker Basi mi naweka kila kitu pembeni mpaka madirisha nafunga nisiskie hata sauti ya ndege....nipate uhondoo