My role model Iddi Amin Dada

My role model Iddi Amin Dada

Nfumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Posts
610
Reaction score
698
Aisee nimewakuta watu somewhere wanamzungumzia vibaya iddi amini nikawashangaa sana alafu nikawauliza mnamjuaje iddi amin wakasema tunamjua kama dikteta aliyekuwa anawauwa waganda vilema baada ya jibu ilo nikaongozana nao kwenda kilabuni kupata pombe ya kienyeji ili kupoteza mawazo ya kusemwa vibaya my role model
 
Mada yako, Na jina lako hapa jf, vina uhusiano mkubwa Na tabia zako, hata sikushangai
 
hao walisoma historia iliyopotoshwa kuhusu huyuu jamaa
 
Back
Top Bottom