My Salute Kwa Wabunge:- That is How We Treat Traitors!!

Huyu mleta mada nawasiwasi kuna uwezekano. Ni kichaa kwa sababu ana mawazo kama ya kichaa mmoja pale bungeni anaitwa lusinde
 
- Leo nimejionea kwa macho na masikio yangu Wabunge wanaomkumbuka Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, sikutegemea kua bado tuna Wabunge wenye Uzalendo wa kukumbuka tulikotoka hili Taifa. Kumbe bado tunao Wabunge wenye uchungu na Taifa letu, kumbe bado tunao Wabunge wenye kuelewa kwamba Duniani hakuna Serikali ya Jamhuri yenye Marais 3. - Warioba alipoteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Rasimu aliapa kwa kiapo kile kile cha Jamhuri, kwamba ataulinda Muungano kwa akili zake zote na nguvu zake zote, aliapa viapo hivi maisha yake yote mbele ya Mwalimu muasisi wa Muungano, sasa leo Mwalimu hayupo Warioba amebadilika hataki tena Muungano, halafu kibaya hajawahi kusema hadharani kuwa Mwalimu was wrong na Muungano, halafuhajawahi kutuambia hili Taifa kwamba huko nyuma alikuwa anaunga mkono Muungano na sasa hautaki, ila aemjificha ficha nyuma ya Rasimu na kutaka kupenyeza agenda yake ya kisaliti, bravo wabunge wangu leo nimejisikia vizuri sana na hasa imenikumbusha zile enzi za JKT nilipokuwa Oljoro Arusha kwenye "OPERATION TEKELEZA", - JAMANI WALE WOTE KAMA WARIOBA MNAOTAKA KUVUNJA MUUNGANO SUBIRI SISI WOTE TULIOPITIA JKT TUSIWEPO, NDIO MTAPITISHA UPUUZI WENU WA KUVUNJA KILA KITU: WARIOBA ALIKUW WAZIRI MKUU NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ASIYETAKA MUUNGANO LAKINI HAKUSEMA HATA SIKU MOJA, ANAKUJA KUSEMA LEO TENA KWA KUJIFICHA NYUMA YA PAZIA LA RASIMU YA KATIBA, LEO AMEJIONEA MWENYEWE KWAMBA SIO WABUNGE WOTE NI SAWA WALE WANANCHI ALIOKUWA ANAWABURUZA KWENYE VIKAO VYAKE KULE MIKOANI. - KUTAKA SERIKALI 3 NI KUVUNJA MUUNGANO KWA KIONGOZI YOYOTE WA TAIFA ALIYEAPISHWA NA RAIS KUDAI HAYA NI USALITI, HENGERENI SANA WABUNGE WOTE MLIOSIMAMA KIDETE LEO, MTALIPWA NA MUNGU WA MBINGUNI TU WARIOBA NA KUNDI LAKE MTALIPWA HAPA HAPA DUNIANI KWA KUTAKA KUTUVURUGA SISI WANANCHI WA TANZANIA, MSHINDWE NA MLEEEGEEEE WOTE WASALITI WAKUBWA WA MWALIMU BABA WA TAIFA!! Le Mutuz
sasa wewe bonge mbona hueleweki,unajua kwa nn wabunge walipinga Mzee asiwasilishe rasimu?nkupe taarifa tu,walioongoza mgomo ni CDM na wao ni waumini wa serikali tatu kama wananchi tulivyopendekeza kwenye tume ya Warioba.
 
- Leo nimejionea kwa macho na masikio yangu Wabunge wanaomkumbuka Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, sikutegemea kua bado tuna Wabunge wenye Uzalendo wa kukumbuka tulikotoka hili Taifa. Kumbe bado tunao Wabunge wenye uchungu na Taifa letu, kumbe bado tunao Wabunge wenye kuelewa kwamba Duniani hakuna Serikali ya Jamhuri yenye Marais 3. - Warioba alipoteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Rasimu aliapa kwa kiapo kile kile cha Jamhuri, kwamba ataulinda Muungano kwa akili zake zote na nguvu zake zote, aliapa viapo hivi maisha yake yote mbele ya Mwalimu muasisi wa Muungano, sasa leo Mwalimu hayupo Warioba amebadilika hataki tena Muungano, halafu kibaya hajawahi kusema hadharani kuwa Mwalimu was wrong na Muungano, halafuhajawahi kutuambia hili Taifa kwamba huko nyuma alikuwa anaunga mkono Muungano na sasa hautaki, ila aemjificha ficha nyuma ya Rasimu na kutaka kupenyeza agenda yake ya kisaliti, bravo wabunge wangu leo nimejisikia vizuri sana na hasa imenikumbusha zile enzi za JKT nilipokuwa Oljoro Arusha kwenye "OPERATION TEKELEZA", - JAMANI WALE WOTE KAMA WARIOBA MNAOTAKA KUVUNJA MUUNGANO SUBIRI SISI WOTE TULIOPITIA JKT TUSIWEPO, NDIO MTAPITISHA UPUUZI WENU WA KUVUNJA KILA KITU: WARIOBA ALIKUW WAZIRI MKUU NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ASIYETAKA MUUNGANO LAKINI HAKUSEMA HATA SIKU MOJA, ANAKUJA KUSEMA LEO TENA KWA KUJIFICHA NYUMA YA PAZIA LA RASIMU YA KATIBA, LEO AMEJIONEA MWENYEWE KWAMBA SIO WABUNGE WOTE NI SAWA WALE WANANCHI ALIOKUWA ANAWABURUZA KWENYE VIKAO VYAKE KULE MIKOANI. - KUTAKA SERIKALI 3 NI KUVUNJA MUUNGANO KWA KIONGOZI YOYOTE WA TAIFA ALIYEAPISHWA NA RAIS KUDAI HAYA NI USALITI, HENGERENI SANA WABUNGE WOTE MLIOSIMAMA KIDETE LEO, MTALIPWA NA MUNGU WA MBINGUNI TU WARIOBA NA KUNDI LAKE MTALIPWA HAPA HAPA DUNIANI KWA KUTAKA KUTUVURUGA SISI WANANCHI WA TANZANIA, MSHINDWE NA MLEEEGEEEE WOTE WASALITI WAKUBWA WA MWALIMU BABA WA TAIFA!! Le Mutuz

sasa wewe bonge mbona huelewek?i,unajua kwa nn wabunge walipinga Mzee asiwasilishe rasimu?nkupe taarifa tu,walioongoza mgomo ni CDM na wao ni waumini wa serikali tatu kama wananchi tulivyopendekeza kwenye tume ya Warioba.
 
We Mtoto wa Mzee Malechela ni "Zero",sielewi kama unapotosha kwa makusudi au ndo huelewi,wana jf wanaokufahamu tanisaidia.
Uliowatuhumu kwenye thread yako umewaonea."Futa kauli"
 
- Leo nimejionea kwa macho na masikio yangu Wabunge wanaomkumbuka Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, sikutegemea kua bado tuna Wabunge wenye Uzalendo wa kukumbuka tulikotoka hili Taifa. Kumbe bado tunao Wabunge wenye uchungu na Taifa letu, kumbe bado tunao Wabunge wenye kuelewa kwamba Duniani hakuna Serikali ya Jamhuri yenye Marais 3. - Warioba alipoteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Rasimu aliapa kwa kiapo kile kile cha Jamhuri, kwamba ataulinda Muungano kwa akili zake zote na nguvu zake zote, aliapa viapo hivi maisha yake yote mbele ya Mwalimu muasisi wa Muungano, sasa leo Mwalimu hayupo Warioba amebadilika hataki tena Muungano, halafu kibaya hajawahi kusema hadharani kuwa Mwalimu was wrong na Muungano, halafuhajawahi kutuambia hili Taifa kwamba huko nyuma alikuwa anaunga mkono Muungano na sasa hautaki, ila aemjificha ficha nyuma ya Rasimu na kutaka kupenyeza agenda yake ya kisaliti, bravo wabunge wangu leo nimejisikia vizuri sana na hasa imenikumbusha zile enzi za JKT nilipokuwa Oljoro Arusha kwenye "OPERATION TEKELEZA", - JAMANI WALE WOTE KAMA WARIOBA MNAOTAKA KUVUNJA MUUNGANO SUBIRI SISI WOTE TULIOPITIA JKT TUSIWEPO, NDIO MTAPITISHA UPUUZI WENU WA KUVUNJA KILA KITU: WARIOBA ALIKUW WAZIRI MKUU NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ASIYETAKA MUUNGANO LAKINI HAKUSEMA HATA SIKU MOJA, ANAKUJA KUSEMA LEO TENA KWA KUJIFICHA NYUMA YA PAZIA LA RASIMU YA KATIBA, LEO AMEJIONEA MWENYEWE KWAMBA SIO WABUNGE WOTE NI SAWA WALE WANANCHI ALIOKUWA ANAWABURUZA KWENYE VIKAO VYAKE KULE MIKOANI. - KUTAKA SERIKALI 3 NI KUVUNJA MUUNGANO KWA KIONGOZI YOYOTE WA TAIFA ALIYEAPISHWA NA RAIS KUDAI HAYA NI USALITI, HENGERENI SANA WABUNGE WOTE MLIOSIMAMA KIDETE LEO, MTALIPWA NA MUNGU WA MBINGUNI TU WARIOBA NA KUNDI LAKE MTALIPWA HAPA HAPA DUNIANI KWA KUTAKA KUTUVURUGA SISI WANANCHI WA TANZANIA, MSHINDWE NA MLEEEGEEEE WOTE WASALITI WAKUBWA WA MWALIMU BABA WA TAIFA!! Le Mutuz

Unaongea kwa fikra za baba ako, maslahi ya familia yenu na maslahi ya CCM!!!
 
Wewe umedandia gari kwa mbele. Wabunge wamepinga kanuni kuvunjwa. Januni ilitaka rais azindue bunge ndipo Warioba asome rasimu. Ccn ki ubabe mkakiuka kanuni, sasa cha moto mmekiona. Rasimu haisomwi hadi rais azundue bunge. Full stop.
 
Niliishasema huyu Le Mutuz ni boya sana yaani hajui Hata kinachoendelea halafu anapost ujinga wake hapa. Ebu kapost kwenye blog yako.

Mbeba box kapotea maboya full.Hakuelewa kuwa aliyekuwa anazomewa si Warioba ila utaratibu ulipovunjwa kumtanguliza kabla ya uzinduzi wa bunge!Huyu amesimuliwa maana angeangalia reactions za mtu kama Mtikila asingeandika haya.
 
Samahani naomba kukuuliza mtoa mada!Kipindi kile mwalimu anamuita Mzee John Malecela MHUNI kwa kushadidia hoja ya G 55 ya serikali tatu<ambayo kwa maoni yako ni kuvunja muungano> ulikuwa ushazaliwa ama ulikuwa bado MIMBA?
 
Goat head bana subiri kufa tuuu huna jipya, sababu haikuwa hiyo mzeee wa mabox, ahhhhhh shame, uliona wapi nchi mbili zimeungana na serikali 2? kama kweli unataka muungano wa dhati kabisa wekeni serikali moja ninyi ma goat head
 
- Muungano hauwezi kufa mtakufa nyie kwanza Serikali 3 labda Dunia nyingine sio hii!1

Le Mutuz
 
Mkuu mleta mada msomi, umenisikitisha kwa uliyoandika nakuomba itendee haki elimu uliyoipata!! (kwa kushabihisha na kofia uliyovaa ingawa sina uhakika sana na uelekeo wa utepe wa kofia ulivaa),ebu soma tena ulichoandika...........
 
Ni lini na wapi Warioba amesema anataka Muungano uvunjike? Na hawa watetezi wa Muungano walikuwa wapi wakati Zanzibar inabadilisha katiba?

Kuna wakati huwa nawaza kana kwamba wanajifanya wahaelewi au ndo yale yale ya maslahi ya chama!!
 
- Leo nimejionea kwa macho na masikio yangu Wabunge wanaomkumbuka Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, sikutegemea kua bado tuna Wabunge wenye Uzalendo wa kukumbuka tulikotoka hili Taifa. Kumbe bado tunao Wabunge wenye uchungu na Taifa letu, kumbe bado tunao Wabunge wenye kuelewa kwamba Duniani hakuna Serikali ya Jamhuri yenye Marais 3. - Warioba alipoteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Rasimu aliapa kwa kiapo kile kile cha Jamhuri, kwamba ataulinda Muungano kwa akili zake zote na nguvu zake zote, aliapa viapo hivi maisha yake yote mbele ya Mwalimu muasisi wa Muungano, sasa leo Mwalimu hayupo Warioba amebadilika hataki tena Muungano, halafu kibaya hajawahi kusema hadharani kuwa Mwalimu was wrong na Muungano, halafuhajawahi kutuambia hili Taifa kwamba huko nyuma alikuwa anaunga mkono Muungano na sasa hautaki, ila aemjificha ficha nyuma ya Rasimu na kutaka kupenyeza agenda yake ya kisaliti, bravo wabunge wangu leo nimejisikia vizuri sana na hasa imenikumbusha zile enzi za JKT nilipokuwa Oljoro Arusha kwenye "OPERATION TEKELEZA", - JAMANI WALE WOTE KAMA WARIOBA MNAOTAKA KUVUNJA MUUNGANO SUBIRI SISI WOTE TULIOPITIA JKT TUSIWEPO, NDIO MTAPITISHA UPUUZI WENU WA KUVUNJA KILA KITU: WARIOBA ALIKUW WAZIRI MKUU NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ASIYETAKA MUUNGANO LAKINI HAKUSEMA HATA SIKU MOJA, ANAKUJA KUSEMA LEO TENA KWA KUJIFICHA NYUMA YA PAZIA LA RASIMU YA KATIBA, LEO AMEJIONEA MWENYEWE KWAMBA SIO WABUNGE WOTE NI SAWA WALE WANANCHI ALIOKUWA ANAWABURUZA KWENYE VIKAO VYAKE KULE MIKOANI. - KUTAKA SERIKALI 3 NI KUVUNJA MUUNGANO KWA KIONGOZI YOYOTE WA TAIFA ALIYEAPISHWA NA RAIS KUDAI HAYA NI USALITI, HENGERENI SANA WABUNGE WOTE MLIOSIMAMA KIDETE LEO, MTALIPWA NA MUNGU WA MBINGUNI TU WARIOBA NA KUNDI LAKE MTALIPWA HAPA HAPA DUNIANI KWA KUTAKA KUTUVURUGA SISI WANANCHI WA TANZANIA, MSHINDWE NA MLEEEGEEEE WOTE WASALITI WAKUBWA WA MWALIMU BABA WA TAIFA!! Le Mutuz

Mbona huonyeshi kama una uwezo wa kufikiri? Serikali tatu na kuvunja muungano vina uhusiano gani? Tumia AKILI.

Wote tunajua kuwaoni ya kwenye rasimu yalikuwa ni ya wananchi ambao ni 61%. Sasa hapo Warioba anaingiaje? Au huamini kama wananchi ndiyo walitoa hayo maoni? Tumia akili siyo unarundika tu maneno yako.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu tunaomba serkali TATU!
 
Huyu mtoto wa Malecela, ni msiba! Inawezekana huwa anafikri baada ya kuandika. Sijawahi kuona hata siku moja akileta hoja au mchango wenye mantiki. Huyu na Lukosi ni balaa, sijui huko nje wanaonekana vipi maana huenda wanaweza kutufanya Waafrika wote tuonekane tupo hivyo!
 
Nilishawahi kuuliza hapa kama huyu ni mtoto wa kweli wa Mzee John au kasingiziwa ?

Hoja za huyu mtu ni ya kiwango cha chini. Kilichogemewa ni utaratibu kukiukwa si hoja za Warioba, zaidi Warioba ni mwana CCM;
 
- Hakuna baba wa mtu yoyote hapa wala baba yako, please tumia akili kidogo tu!! Le Mutuz

Huna lolote wewe mawazo yako mfu ndiyo maana hata Pinda kasema ataifuta jumuiya yenu ya wazazi maana nyie na bosi wako Bulembo ni porojo tuu
 
@W Malcela unacho shabikia sikioni , kama MaCCM hamkutaka katiba mpya kwa nini Boss wako akaanzisha mchakato??
Hon Jdg Warioba sio mnafiki kama wewe na MaCCM wenzio, hayo ni mawazo ya Watanzania, hawezi kuwasaliti kama mnavyotaka kufanya nyinyi!!!
Kosa la Jdg liko wapi, kuwasilisha mapendekezo ya Watanzania??
Mlikuwa wapi hadi Wazanzibari wakavunja katiba ya muungano??
Mnataka tuwalazimishe wageuke Boko Haramu??
Wacha Tanganyika ikae na Zanzibari tuzungumzie muungano unaotufaa, MaCCM msituletee majanga, wenzenu hawataki hivo ati!!
 
- Muungano hauwezi kufa mtakufa nyie kwanza Serikali 3 labda Dunia nyingine sio hii!1

Le Mutuz

Bado tuna safari ndefu sana ya kufikia uhuru wa kweli!

Inakuwaje, watu nataka tusikilize na kuheshimu mawazo yao, lakini hawatakli ya wengine.. Why are you guys sure the dual-government union is the best?

Kama hii ilikuwa ndo system nzuri ever, why do we see ZNZ complaining? Kwa nini wamebadili katiba, kwa nini wanadai uhuru?
 
Back
Top Bottom