My secret nicknames to some JF members

Uwiiii huyo tena...! Wallah hata network itakata, subiri uone
Wallahi wee Mzee wa Mafoto umenichekesha sana.Si ajabu kweli wakati namwandika huyo dada ghafla ikatokea Cloudflare error No 5542!
 
Wallahi wee Mzee wa Mafoto umenichekesha sana.Si ajabu kweli wakati namwandika huyo dada ghafla ikatokea Cloudflare error No 5542!

Hahahahaaaa anajiita wrong number sasa unadhani chochote kinachomhusu kitanyooka!?

Nenda kasearch error code utakuta kuna herufi ff
 
mshana jr - 'Mzee wa ma-photo'. Ukienda jukwaa la Jamii Photos, humkosi huyu mdau na thread mbili tatu za picha.
Kwa kila siku humkosi huyu mdau kwenye jukwaa hilo.[emoji23][emoji23][emoji23]

Dah kipindi hicho nilikuwa nafanya ulozi kwa siri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…