PRECIOUSDOE
Senior Member
- Feb 3, 2009
- 114
- 12
Wenzangu dadangu mdogo anataka ku elope na boyfriend because she is fed up with my parents.She has been complaining that even though she is in college my parents are controlling her too much yet she is a good student and obedient.Anasema kuwa hawezi ku feel at home because akipatwa akiangalia TV inakuwa msomo ati yeye huwa anaona TV all the time.
Mimi mwenyewe nilihaama nilipochoka na mambo hayohayo. Nilipopata first job nilichukua car loan nikanunua gari lakini baba yangu akawa anapark yake vile mimi singeweza kutoa yangu.Hata nilipo ongea naye bado akawa ananizuia.Finally nikachoka
Nikahama. Tena alikuwa ananisomea na kunicriticize almost daily mpaka nikawa ninamuavoid because hata ukifanya 99 gud things na 1 bad yeye ata focus kwa ile 1 ambayo ni mbaya.
The main problem is that kwanza parents wangu hawana kabisa respect kwa privacy ya dada yangu.Sasa hivi baba amechukua diary ya dadangu anaisoma yet iko na mambo very private ambayo hata ni aibu kwa mzazi kuyasoma.Hilo limemkera sana dadangu kiasi cha yeye kutaka ku elope na boyfriend.. Baba huwa anamsomea dadangu na akiquote alichokisoma kutoka kwa diary tena sasa amekata kumrejeshea diary hadi amalize kuisoma.
Mimi sitaki mwenzangu anguke kwa majaribu ya kuolewa kabla ya kumaliza shule kwa sababu ya mambo haya. Baba haoni makosa yoyote kusoma private diary ,kufungua barua au kusikiza simu zetu. Hata anaweza kukuaibisha mbele ya watu mkiwa family get together akusome mbele ya watu .Nahitaji advice vipi nitamsaidia dada yangu.