My sis to elope coz of parents

My sis to elope coz of parents

PRECIOUSDOE

Senior Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
114
Reaction score
12
Wenzangu dadangu mdogo anataka ku elope na boyfriend because she is fed up with my parents.She has been complaining that even though she is in college my parents are controlling her too much yet she is a good student and obedient.Anasema kuwa hawezi ku feel at home because akipatwa akiangalia TV inakuwa msomo ati yeye huwa anaona TV all the time.

Mimi mwenyewe nilihaama nilipochoka na mambo hayohayo. Nilipopata first job nilichukua car loan nikanunua gari lakini baba yangu akawa anapark yake vile mimi singeweza kutoa yangu.Hata nilipo ongea naye bado akawa ananizuia.Finally nikachoka
Nikahama. Tena alikuwa ananisomea na kunicriticize almost daily mpaka nikawa ninamuavoid because hata ukifanya 99 gud things na 1 bad yeye ata focus kwa ile 1 ambayo ni mbaya.

The main problem is that kwanza parents wangu hawana kabisa respect kwa privacy ya dada yangu.Sasa hivi baba amechukua diary ya dadangu anaisoma yet iko na mambo very private ambayo hata ni aibu kwa mzazi kuyasoma.Hilo limemkera sana dadangu kiasi cha yeye kutaka ku elope na boyfriend.. Baba huwa anamsomea dadangu na akiquote alichokisoma kutoka kwa diary tena sasa amekata kumrejeshea diary hadi amalize kuisoma.

Mimi sitaki mwenzangu anguke kwa majaribu ya kuolewa kabla ya kumaliza shule kwa sababu ya mambo haya. Baba haoni makosa yoyote kusoma private diary ,kufungua barua au kusikiza simu zetu. Hata anaweza kukuaibisha mbele ya watu mkiwa family get together akusome mbele ya watu .Nahitaji advice vipi nitamsaidia dada yangu.
 
Mwambie avumilie tuu mpaka amalize college... some parents do these stuff out of love, they think they are protecting their kids...
 
Precious doe kuna wakati utamtafuta huyo mzazi wako hata akuzuie kutoka na gari lako hutampata ndugu yangu. Enjoy your parents while you can hata kama some of the things that they do don't always make sense now but they will later
 
I think your parents are right not that they hate your lil sisy, advice her to trust in time so as to make things better. It's not the question of being free but having a prosperous life!
 
wenzako tulifanyaga hivyo,tukaja juta!...usiruhusu mdogo wako aende na huyo boyfriend...akimtenda,atajuta mara mbili ya wazazi wanavyomkera sasa...
 
Its not that I dont appreciate all what my parents have done for us and am thankful to God for having them still but these kinds of crazy behavior is very detrimental to a child's hapiness,peace of mind,self esteem and good feelings of love children normally have for their parents.

Mimi mwenyewe nilianza kulewa kwa sababu ya stress za aina hii nilipokuwa nikiishi pale home.Other tyms nikawa nina lala nje hata kama sitaki ku avoid kufika home late nilipochelewa to avoid makelele yatakayo nipata nikifika.One nite nilikuwa nimebreak up na my then bf I think I was 23,nikafika home 10pm.baba yangu akanifungulia mlango na kuniambia nirudi niliko toka.That time I was in alot of pain.Nilipohama home within 6 months I stopped drinking and going to clubs.Hayo yote nilikuwa nikiyafanya ku rebel against excess control and kucope na stress ambazo nilizipata pale.

Kosa analokukosea mzazi lina uma zaidi ya mtu mwengine yeyote.So harsh words and criticising haisaidi chochote ila kumfanya mtoto ajione yeye ni useless .Mambo ambayo nimeyapitia pale yameni affect sana na ninajuwa hata mdogo wangu anaskia amezidiwa .
 
Mwambie mdogo wako avumilie kwa sasa. Kila jambo huwa na makusudi yake hivyo asikimbilie kuolewa kisa kukimbia kero ya wazazi. Ingawa wanakera kwa sasa ila ipo siku atakuja kuwashukuru. kwanza sasa hivi sidhani kama motive ya kuolewa ni mapenzi, bali ni kukimbia wazazi wake, hivyo aangalie asije juta baadae kwa kuuingia mkenge. Maamuzi ya kuolewa yanapaswa kufanywa wakati kichwa kimetulia na sio kisa kukimbia wazazi au jambo fulani, hiyo sio motive nzuri ya kufanya jambo nyeti kama hili.
 
Back
Top Bottom