my special dedication to my Wife to be

Hahahaha!! Chukua hayo ya Kiswahili ukiwa unasubiria nikutupie ya Manchester

Siku nyengine walau basi iwe limepatikana kwa njia ya PM, hii copy-paste live kidogo mushkeil
 
Hehehee Gee mbona hivo lakini? Lol...
Bado kubadili msimamo eeh?

Kuna baadhi ya mitazamo ipo damuni .....inatwa 'inborn caharacter' lol.

Tunataka mambo ya Romantic au Manchestic 😛
 
just imagine lizzy unamuumiza tu mtu kwa sababu ya revenge maskini hata yeye haelewi ila sio fair eeeh?ila nice gemu maana at least inakupa ahuenifrom there life goes on
Sio fair kabisa...unaumiza mtu kwa kosa la wengine? Acha mara moja bana. moyo wa kisasi ukiuendekeza unakumaliza wewe kwanza
 
Kuna baadhi ya mitazamo ipo damuni .....inatwa 'inborn caharacter' lol.

Tunataka mambo ya Romantic au Manchestic 😛
Kama ni 'inborn character'...watu wajirudie tu na magunia yao ya mkaa na live chicken...mweeh!

Kidhungu ndo lugha ya mapendo kwa hiyo?
Natafuta mkalimani, ukinionea tafadhali...
 
Engilishi plizzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Sio fair kabisa...unaumiza mtu kwa kosa la wengine? Acha mara moja bana. moyo wa kisasi ukiuendekeza unakumaliza wewe kwanza
mbona mimi niliumizwa bila sababu ? why why me?
 
Kama ni 'inborn character'...watu wajirudie tu na magunia yao ya mkaa na live chicken...mweeh!

Kidhungu ndo lugha ya mapendo kwa hiyo?
Natafuta mkalimani, ukinionea tafadhali...

Lugha ya mapenzo ni Kifaransa au moja ya lugha za Kilatini......lakini nitashukuru japo kupata ya Kiingereza. Hii ya Kiswahili haikubaliki hata kidogo 😛
 
Kuna baadhi ya mitazamo ipo damuni .....inatwa 'inborn caharacter' lol.

Tunataka mambo ya Romantic au Manchestic 😛
Hapa Gee najua hauchomoki lazima tu useme "Yes I Do" :lol::lol:

A gentle word like a spark of light,
Illuminates my soul
And as each sound goes deeper,
It's YOU that makes me whole

There is no corner, no dark place,
YOUR LOVE cannot fill
And if the world starts causing waves,
It's your devotion that makes them still

And yes you always speak to me,
In sweet honesty and truth
Your caring heart keeps out the rain,
YOUR LOVE, the ultimate roof

So thank you my Love for being there,
For supporting me, my life
I'll do the same for you, you know,
My Beautiful
 
Aaam not really....
I guess dogo smile yupo na 'mood' ya kupendwa ....lol hiyo mood ya kupendwa imenifurahisha!

Jamaa anaongelea tabasamu la mpenziwe wake bana
Hehehhe...kwahiyo jamaa kaweka kwa yeyote mwenye ''mood ya kupendwa'' na Smiley kajishindia!!

just imagine lizzy unamuumiza tu mtu kwa sababu ya revenge maskini hata yeye haelewi ila sio fair eeeh?ila nice gemu maana at least inakupa ahuenifrom there life goes on

Hmmmm Smiley that's not very nice.
Binafsi siamini kwenye kuwaadhibu watu kwa makosa ya watu wengine.
 
Hehehhe...kwahiyo jamaa kaweka kwa yeyote mwenye ''mood ya kupendwa'' na Smiley kajishindia!!Hmmmm Smiley that's not very nice.Binafsi siamini kwenye kuwaadhibu watu kwa makosa ya watu wengine.
mbona yesu alikufa msalabani kwa sababu ya uovu wetu izo zipo hata mbinguni wanatambua
 
Weh wehhhhh..The Finest yupo juuu
 
mbona mimi niliumizwa bila sababu ? why why me?
Sasa ukishaumiza wengine kwa kukosewa na wengine ndo itakjpa relief?
C'm on girl....it doesnt work that way!
 
Kwani wewe ni Yesu?? Au wewe unataka kujifanya Yesu woman version
mimi kama mfuasi wa yesu natakiwa niishi kama yesu na ndo maana neno linasema sio mimi ninaeishi ila kristo(yesu) ndani yangu
 
That's all you can say?.......:eyebrows::eyebrows:
Imagine....if she could only know hw much you have strained to come up with the lines......

Lakini si haba, si unamjua alivyo kichwa ngumu kukubali kitu? Ila hapo angalau kalegeza kamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…