my special dedication to my Wife to be

my special dedication to my Wife to be


...lol...hiyo 'saini' aliyomwaga hapo juu tayari kajikubalisha kuubeba msalaba huu,
acha asulubiwe kwanza...


We Mbu hufai kabisa hebu acha kutufukuzia watu bana
Ndo nini sasa mpaka jpinduzi kafuta dedication??

Ha ha ha ha ha ha wajameni haya bana mie simo
 
Hahaha wewe ndo ulogongomelea msumari wa moto.

Mie nilikuwa naenda nae mdogo mdogo....lolz


Ha ha ha ha Mbu katufukuzia Jpinduzi kabisa.....................

Mmhhhhh mie simo bana acha kunisingizia aisee
 
Back
Top Bottom