Heheheeeiyaaa...kumbe ulikuwa Manchesita sema basi tu ukaamua kujivunga kidogo
Kirahisi rahisi haikubaliki, unapima kwanza 'how high can he jump for you' ...lol
Haiba ya mtoto wa kike hiyo ati...lol!
Dah naona makamnda wangu mshateka li sridi la Jpinduzi..lol
hehehe kwa hiyo hapa ni kufungukiana sio?Tunaliboresha tu kwa sababu mwenyewe haonekani 😀
hehehe kwa hiyo hapa ni kufungukiana sio?
Ngoja nimtafutie BHT mashairi ya Binti Seif
Hivi nikitaka kukwambia "nimekumiss mwalimu wangu" kwa kiinglishi inakuwaje hapo?Kwa hisani ya watu wa Marekani tunamba walau utumbukize na maneno mawili matatu ya Kiingereza humo ndani. Si unajua lugha ya kigeni inakuwa inakubalika zaidi .......sijui vile hatujui maana yake sawa sawa?!
Laana Meku...sasa unifungukie mm dadaako tena?hehehe kwa hiyo hapa ni kufungukiana sio?
Ngoja nimtafutie BHT mashairi ya Binti Seif
Kidogo shurti u 'play hard to get'...lol!Baeleze baelezeeeee ....sio mtoto wa kike jamaa kakwambia "unamacho mazuri" siku hiyo hiyo, ushasema hakuna kama huyu!
Mshiki kumbe?? mi sikujua hilo mi nilijua ni kufunguka tu, hata kwa mwalimu wangu nafunguka tu!Laana Meku...sasa unifungukie mm dadaako tena?
Halafu kufungukiana kwa kiswahili haikubaliki.....
Hivi nikitaka kukwambia "nimekumiss mwalimu wangu" kwa kiinglishi inakuwaje hapo?
Sio hovyo hovyo tu Meku...Mshiki kumbe?? mi sikujua hilo mi nilijua ni kufunguka tu, hata kwa mwalimu wangu nafunguka tu!
kumbe sivyo?
Mh ngoja nikae kimya la sinvyo sita hitimu kwa kweli!Ohooo subiri uanze kufelishwa. Mambo mengine ya kujitakia ujuwe!
Mh ngoja nikae kimya la sinvyo sita hitimu kwa kweli!
😛oapoaSio hovyo hovyo tu Meku...
Fuata mfano wa Jmapinduzi...mwenye sredi
[SIZE=-1]To My Beloved ...............You are always on my mind, I can't stop thinking about you. The first thoughts when I wake, and the last thoughts before I go to sleep are of you. I am such a lucky guy to have found such a wonderful woman. I miss you so much, it has been too long since the last time I saw you.
Your smile is so beautiful and magical. Every time that I think of your smile it lights me up inside. Even when I am having a really bad day, seeing you smile makes me want to smile too and it makes me forget about the previous events of the day.
My beloved........, you must be the most caring person on earth. You seem to have an unlimited amount of patience and kindness. Every time I make a mistake you are right there to support me. The time that you drove 300 miles just to take care of my relatives when I was away is just one example of your big heart.
[/SIZE][SIZE=-1]I have had such a great time with you no matter what we are doing. As long as you are around, even doing the most mundane activity is fun. I hope that we'll see each other everyday when I come back, I want to spend as much time with you as possible. I miss you so much.
[/SIZE]
[TABLE="width: 215, align: right"]
[TR]
[TD][SIZE=-1]Love always,
Jpinduzi[/SIZE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mwalimu wewe je?Bee hebu tupe ma-experience yako, hujawahi kuandikiwa kwani dedication?
.........kila la kheri!