my special dedication to my Wife to be

Hehheeeheeee Gee
Utajibebele...

Lakini najipa moyo, yangu ilikuwa ni original work kisha mtindo wa kisasa wa "kufoka foka"..............si haba 😛

Umenikumbusha rafki yangu mmoja nae alikuwa na theme song "A whole new world"

Nimeenda harusini kwake, bibi na bwana wanaingia ukumbini, mbele kasimama violinist live akatupigia....it was too cute :]
 
Reactions: bht
Mbu umesahau kaka wakati mwingine ni kuishi kama upo kwenye njozi ukitazama sana waeza jitia kengeza kama unavosema.:A S-coffee:

Mbu acha kuweka mchanga kitumbua cha mwenzako.....:lol:
 
Haha haha Mbu nimecheka sana kwenye hiyo Love Letter. Lakini ni sawa tu na mtu kudedicate wimbo ambao upo maarufu tu hadi kuwa na theme song fulani. LOL

Tatizo lako Mbu helewi kuwa hata upige parapanda kiasi gani, mwanamke haelewi actions bila words. Kwa hiyo labda uwaambie vijana wa actions nao mara moja moja wawe wanatupa na mistari 😀
 
hasa mwaya...mwenzio ajitutumue afikirie mistari na kuanza kushuka mchezo..... Acha basi ku play hard to get na wewe sasa...lol

si unaona sasa Gee utamu wa hizi dedications?.....you can go further coz a day will come that you two can recall all those precious moments and make something out of those!
 
Reactions: Mbu

hahahahah, ati mpewe na mistari...lol....
haya bana, mimi ni old skool....
nikishamaliza mistari ya primary, secondary stage ni vitendo
nikiitikia na kibwagizo..."i love you too!...nakupenda pia....!"

kumbe jamaa wa hii thread kachukua tu lisample letter dah mbu umetoa wapi hii?
 
Shurti uwe mwanamke ndo uelewe hii kitu.

Akutendee kubwa utafurahi na kushukuru, lakini akikushushia mistari utafikiri wewe ni Princess wa Bwagamoyo!

Unaona tofauti hapo! Havilingani hata kidogo.
 
kumbe jamaa wa hii thread kachukua tu lisample letter dah mbu umetoa wapi hii?

....ohoooo, myuti basi bana...akini report kwa mods nitakula "ban" mwenzio!
 
wewe natangaza tena kwa sauti hapa hatupendi kucopy na kupaste hapa ni great thinkers sikubali ndo maana kakimbia

Mnamuonea tu.

Watu kila asubuhi wanatubandikia nyimbo wakisema ni ujumbe kwa wake/wapenzi wao. Kosa lake hajaweka source tu labda
 
Reactions: Mbu
Shurti uwe mwanamke ndo uelewe hii kitu.

Akutendee kubwa utafurahi na kushukuru, lakini akikushushia mistari utafikiri wewe ni Princess wa Bwagamoyo!

Unaona tofauti hapo! Havilingani hata kidogo.

...lol....

sasa umenijibu kwanini kwenye utetezi, wanawake wengi hujitetea
"it is not what you think, it is just a fling!"....

...halafu nishasoma mahala, ati kuna wanawake (hata kama wameolewa) wasipotongozwa hujiskia unyonge...
daaahh, ngoja nimtafute Ali Kiba nipate lyrics mpya 'nishtue' kwa soulmate...
 
Orait...naona hapa tunafunguka...will be back...
 
Ha ha ha ..Mbu tafadhali tusome vizuri.
Mtu unaona michosho tu kama huyo mtoa mistari huna feelings nae.
Kwa hiyo taratibu huko nje.
 
Reactions: Mbu
Shurti uwe mwanamke ndo uelewe hii kitu.

Akutendee kubwa utafurahi na kushukuru, lakini akikushushia mistari utafikiri wewe ni Princess wa Bwagamoyo!

Unaona tofauti hapo! Havilingani hata kidogo.
Yaani ukiishasema hivyo nakumbuka Msoga....lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…