My Story..

My Story..

Story yako imenifanya nivute picha ya nyumbani kwetu.........

Mzee wangu hana mambo ya kichawi na wala haamini kabisa kwenye hayo mambo ila Ana ndugu zake wanapambana nae kwa nguvu zote ili asifanikiwe

Kwenye ukoo,dingi ndo wanae wamefika chuo kikuu ila family zingine ata la saba kumaliza ni shida..........Kuna ndugu zangu wengi wanafanyiwa mambo ya ajabu na ata mpaka sasa wala ata hawawezi kusimama kulingana na hali zao zilivyo

Kuna muda uwa nakaa naota maisha yangu kama siyaelewi ila namuachia mungu

Mtafute Mungu na ujikite zaidi kwenye maombi........utanikiwa tu
 
Back
Top Bottom