PiccoPicco
Member
- Dec 17, 2023
- 5
- 108
siku chache zilizopita nilipost a thread kutafuta “Love&Companionship”
nimepata some PM bahati mbaya hazifunguki nimereport tayari.
ila nimeobserve vitu kwa kiasi fulani vimenipa kutafakari.
1.Watu humu wapo very Judgemental,yani kama wanaishi maisha fulani perfect,hawajawahi ona divorce,single mothers,mtu kutafuta partner mtandaoni,etc
yani wanaona kama dhambi kuja huku kutafuta mtu
kuna watu sio wabaya but hawawezi tu kujichanganya ndo walivo,humu kunaweza kua safe place kwao
kukutana na watu pia,tukiamua.
2.kuna watu wapo humu kukera na kukatisha tamaa wenzao,
mimi naamini unaweza mpata lifepartner popote ,kanisani,twitter,JF ,online popote etc
mtu akipost jambo
lake msimkere kama haikuhusu na hauko
interested pita tu sio lazima kucoment kwenye kila thread.
3.watu wanataka watu “wanaopretend” mfano ukiweka some hobbies wanakukatisha tamaa uone kama with that hobbie huwezi pata mtu wa kueleweka”inacondition watu kuja kusema mambo wanayotaka watu wasikie and not reality”.mimi naamini a person has to be real,no need to be fake
4.mwisho wa siku let people be,tuheshimiane,tujibishane kwa staha
no need to mock anyone over anything,
let people be,ya Mungu mengi huwezi jua kampangia nani nini
humu kuna watu wazuri tu na wabaya pia wapo kama kwenye real life.
kutumia Jina la siri kusikufanye ujitoe akili.
Love is beautiful,may we all get a chance to experience it,even once in a lifet time.
Alamsiki