My take:JF Love connect

My take:JF Love connect

PiccoPicco

Member
Joined
Dec 17, 2023
Posts
5
Reaction score
108
siku chache zilizopita nilipost a thread kutafuta “Love&Companionship”
nimepata some PM bahati mbaya hazifunguki nimereport tayari.
ila nimeobserve vitu kwa kiasi fulani vimenipa kutafakari.

1.Watu humu wapo very Judgemental,yani kama wanaishi maisha fulani perfect,hawajawahi ona divorce,single mothers,mtu kutafuta partner mtandaoni,etc
yani wanaona kama dhambi kuja huku kutafuta mtu
kuna watu sio wabaya but hawawezi tu kujichanganya ndo walivo,humu kunaweza kua safe place kwao
kukutana na watu pia,tukiamua.

2.kuna watu wapo humu kukera na kukatisha tamaa wenzao,
mimi naamini unaweza mpata lifepartner popote ,kanisani,twitter,JF ,online popote etc
mtu akipost jambo
lake msimkere kama haikuhusu na hauko
interested pita tu sio lazima kucoment kwenye kila thread.

3.watu wanataka watu “wanaopretend” mfano ukiweka some hobbies wanakukatisha tamaa uone kama with that hobbie huwezi pata mtu wa kueleweka”inacondition watu kuja kusema mambo wanayotaka watu wasikie and not reality”.mimi naamini a person has to be real,no need to be fake

4.mwisho wa siku let people be,tuheshimiane,tujibishane kwa staha
no need to mock anyone over anything,
let people be,ya Mungu mengi huwezi jua kampangia nani nini
humu kuna watu wazuri tu na wabaya pia wapo kama kwenye real life.
kutumia Jina la siri kusikufanye ujitoe akili.

Love is beautiful,may we all get a chance to experience it,even once in a lifet time.

Alamsiki
 
achana nao
 
Wakati naendelea kuhimiza suala la umri tulegezeee na sisi 20's tuna haki ya kikatiba ya kupendwa, mi naona kama vitu vya humu unavichukulia serious Sana
lazima nivichukulie serius mdogo angu,sisi watu wazima tupogo serious.
btw nimeona kuna mdada age yako anatafuta partner emu sogea kule usijicheleweshe🤣
 
Eb nitag mapema sana uwe kamati ya harusi
 
Na ndivyo ilivyo wajirekebishe. Hasa wanaozingua ni hawa under 30
 
siku chache zilizopita nilipost a thread kutafuta “Love&Companionship”
nimepata some PM bahati mbaya hazifunguki nimereport tayari.
ila nimeobserve vitu kwa kiasi fulani vimenipa kutafakari.

1.Watu humu wapo very Judgemental,yani kama wanaishi maisha fulani perfect,hawajawahi ona divorce,single mothers,mtu kutafuta partner mtandaoni,etc
yani wanaona kama dhambi kuja huku kutafuta mtu
kuna watu sio wabaya but hawawezi tu kujichanganya ndo walivo,humu kunaweza kua safe place kwao
kukutana na watu pia,tukiamua.

2.kuna watu wapo humu kukera na kukatisha tamaa wenzao,
mimi naamini unaweza mpata lifepartner popote ,kanisani,twitter,JF ,online popote etc
mtu akipost jambo
lake msimkere kama haikuhusu na hauko
interested pita tu sio lazima kucoment kwenye kila thread.

3.watu wanataka watu “wanaopretend” mfano ukiweka some hobbies wanakukatisha tamaa uone kama with that hobbie huwezi pata mtu wa kueleweka”inacondition watu kuja kusema mambo wanayotaka watu wasikie and not reality”.mimi naamini a person has to be real,no need to be fake

4.mwisho wa siku let people be,tuheshimiane,tujibishane kwa staha
no need to mock anyone over anything,
let people be,ya Mungu mengi huwezi jua kampangia nani nini
humu kuna watu wazuri tu na wabaya pia wapo kama kwenye real life.
kutumia Jina la siri kusikufanye ujitoe akili.

Love is beautiful,may we all get a chance to experience it,even once in a lifet time.

Alamsiki
Achana nao kama Mungu kakuandikia kupata mtu huku utampata tu.
 
Hilo ni tatizo linalosababishwa na stress, mtu mwenye stress anaweza kukutukana bila sababu za msingi..

Wengine wanapenda challenge ili kukufanya uwe imara zaidi..

Lakini wengine wanapenda lakini hawana kigezo hata kimoja i.e wanafamilia, wameoa nk hivyo njia iliyobaki ni kukuvuruga ili ukate tamaa..
 
Back
Top Bottom