FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Utaahira aliowafanyia waumini wake huyu mchungaji wa huko Kilifi Kenya ukishawahi kufanywa Uganda na mtu anaeitwa Kibwetere.
Financial gains are at the heart of these ludacris acts! Kibwetere aliwaambia waumini wake wakiandae kwenda mbinguni siku flani ya tarehe fulani, hivyo wauze kila kitu chao na kupeleka pesa kaniasani.
Kweli bhana, yake mataahira yakauza majumba yao, magari, viwanja, wakakwangua pesa benki, wakauza kila kitu chao hadi chupi na kumpelekea pesa zote Kibwetere, Billions and Bilions zilipelekwa na waumini takriban 500.
Sasa jamaa baada ya kuona keshaweka kibindoni Jackpot Bingo ya maana, akaenda ibadani na kuwaambia waumini wafumbe macho na wasifumbue, hadi watakapofika mbinguni ndio wafumbue macho. Basi jamaa akatoka na kuwafungia milango waumini wote ndani ya kanisa na kulichoma moto, zaidi ya watu mia tano (pengine watoto wakiwemo, inaumiza nyieee) , wakatapa tapa kwa maumivu makali yasio mithilika, wakaungua na kuwa mikaa kwa mateso makali. Kibwetere akatajirika na kutokomea. Hadi unajiuliza, Mungu yupo kweli?!
Sasa huyu wa Kenya yeye kafanya kitu kile kile kwa style nyingine. Bila shaka, na ni imani yangu, hapa kuna similar circumstances zinazohusisha gross financial benifits na motives juu ya hili. Kwamba kawaaguza wauze kila kitu na pesa wakamtolee mungu, halafu walipoemda kanisani eti wafunge hadi kufa ndio waende mbinguni, yeye akijua wazi na bila shaka kwamba hakuna binadamu anaweza kuvumilia maumivu makali ya njaa willingly hadi kufa, either akawapulizia dawa ya sumu au akawanywesha maji ya baraka yenye sumu au dawa ya usingizi, kisha akawazika hai.., ili aindoke na mali zao.
Mimi nipo tayari kubet kiasi chochote cha pesa, hata mke wangu nitamuweka bondi, kwamba hakuna binadamu anayeweza kujiua kwa njaa willingly, haiwezekani. Njaa inauma nyie, njaa inauma jamaniii, hivi mnaijua njaa nyie.., yaaaaani njaaaaa?! No way..., niiitwe mbwa , na sijakaa pale, nimekaa hapa hapa...
Polisi wa Kenya wasikubali ku-buy that ridiculous, childish, senseless version of the story..., in short hayo ni mauaji ya halaiki..., its pure murder..!!!